Taratibu Mkuu mambo si rahisi hivyo huko TanzaniaHainan kusubiri mwezi hii mkuu, mahujaji leo walikuwa arafa, so Kesho ni Eid!!
Kwahiyo Kesho wanafunga sio..dah!!Huku kwetu kiumbe mmoja tu anaamua kujitwika mamlaka ya kuamua mambo ya Mungu. Kila kitu kilikuwa wazi kuwa Eid ni Jumanne lakini Zuberi Simba kwa matakwa yake kaamua kuipeleka jumatano. Halafu mwenye yupo Hija sasa sijui anahiji nini huko kama si unafiki.
Hii nchi laana yake ni ya kiwango cha mwisho maana Jiwe linatesa na dini nazo zimepata wapigaji, sijui tukimbilie wapi.View attachment 842677View attachment 842678View attachment 842679
Nanukuu maneno ya RPC wa dodoma, mtapata ta......Tukutane jangwani mkuu baada ya hapo karibu pilau ngamia!
Same East Africa but......Tayari mwezi umeonekana? Sheikh wetu wa Taifa ametangaza?
Haina cha sheikh mkuu kesho Iddy achana na haoTayari mwezi umeonekana? Sheikh wetu wa Taifa ametangaza?
Kwani ibada ya hijja inafanyika TZ?Acha kukaririshwa jamaa yupo sahihiTaratibu Mkuu mambo si rahisi hivyo huko Tanzania
Tunaotambua unafiki Wa hao bakwata tushawapuuza kitamboHuku kwetu kiumbe mmoja tu anaamua kujitwika mamlaka ya kuamua mambo ya Mungu. Kila kitu kilikuwa wazi kuwa Eid ni Jumanne lakini Zuberi Simba kwa matakwa yake kaamua kuipeleka jumatano. Halafu mwenye yupo Hija sasa sijui anahiji nini huko kama si unafiki.
Hii nchi laana yake ni ya kiwango cha mwisho maana Jiwe linatesa na dini nazo zimepata wapigaji, sijui tukimbilie wapi.View attachment 842677View attachment 842678View attachment 842679
Asalaam aleykum wanabodi,
Napenda kuchukua nafasi adhimu kuwatakia waislamu wote iddi njema popote walipo.
Tutumie sikukuu hii katika kufurahi na kuwatembelea ndugu na jamaa na pia tusisahau kuwakaribisha Majirani zetu hata kama sio waislamu wapate kusherekea nasi kwani uislamu unafundisha kwamba jirani yako ni ndugu yako.
Tujiepushe na maasi kwenye sikukuu hii ya idd.
Mwenyezi mungu atufanyie wepesi
Amiiin!!!