Inaelekea wasiri wako mwaJ kadondoka kwa ruttashobolwa. Juzi nliwafumania wakidansi na mapacha watatu. Umenionea wapi cacico?
Unamfananisha na nani? Siku hizi hata vidogi huwa vinafananishaga ujue...tobaaaaaaaaaaaaaaaaa, maulana! khaaaaa, mbona kama namfananisha na mtu huyo baba jamani??
tena ujiamini haswa! huu mzigo wako peke yako, unakula peke yako, ebo! wengine wasindikizaji tu, wakifika mizani wanashuka, mzigo unapima mwenyewe ebo! mi luv u hubby! mwahhhhh, yako umeidakia wapi hii?Bahati nzuri siku hizi sina wivu kiviiiile.... lol
Khaaaa! Unaulizia nywele saluni? Kwenye kipara changu kama kawa LOLtena ujiamini haswa! huu mzigo wako peke yako, unakula peke yako, ebo! wengine wasindikizaji tu, wakifika mizani wanashuka, mzigo unapima mwenyewe ebo! mi luv u hubby! mwahhhhh, yako umeidakia wapi hii?
Inaelekea wasiri wako mwaJ kadondoka kwa ruttashobolwa. Juzi nliwafumania wakidansi na mapacha watatu. Umenionea wapi cacico?
unanitolea udhu ujue mwenzio nafunga 6?? mbona hivyo lakini?Khaaaa! Unaulizia nywele saluni? Kwenye kipara changu kama kawa LOL
Thats my wifey....hubby nipo nimejaa mbaya!
tena ujiamini haswa! huu mzigo wako peke yako, unakula peke yako, ebo! wengine wasindikizaji tu, wakifika mizani wanashuka, mzigo unapima mwenyewe ebo! mi luv u hubby! mwahhhhh, yako umeidakia wapi hii?
Hahahahaa! Hommie bana! Unang'ang'ana tu? Hamna kushuka kwenye mizani LOLwengine kwen mizani hatushuki, tuna adhust tu, ikipimwa mbele, tunarudi nyuma, mzani unasoma poaaaaaaaaaaaaa! Ikipimwa nyuma, siye haooo mbele kwa raha zetu, mzani unasoma poa....konda anaruhusu liende! chezeya! haa shemeji cacico wanipa rahaje sasa? Mwaaah
tobaaaaaaa chezeiya visarata wa mtaa weye??? Kipimo mara moja, na majibu yametoka! Lolwengine kwen mizani hatushuki, tuna adhust tu, ikipimwa mbele, tunarudi nyuma, mzani unasoma poaaaaaaaaaaaaa! Ikipimwa nyuma, siye haooo mbele kwa raha zetu, mzani unasoma poa....konda anaruhusu liende! Chezeya! Haa shemeji cacico wanipa rahaje sasa? Mwaaah
khaaaaaa! Umeipata wapi picha yangu hii, lol, mimi, na Yummy, BADILI TABIA na The secretary! Siku ambayo the secretary alikuwa anakaguliwa rasmi na bishanga! Tulienjoy sana wallah!thats my wifey....
Hebu niambie hapa ulikuwa na kina nani?
Nimeonewa sana,...duh...kumbe. PakaJimmy naye anakuzunguka hata wewe..?...aisee...
Nawakaribisha wapenzi,wafurukutwa,wakereketwa,washikadau,washabiki,waungaji,wafuasi,wapenzi na waamini wote wa CCM pale Simba Kapakatwa pub makumbusho mje tusherehekee Iddi
Kaizer wa siri wangu, mambo gani tena hayo ya kuita wake za wenzio pembeni? Shauri yako hiyo siri mie wala sitakufichia!
Inaelekea wasiri wako mwaJ kadondoka kwa ruttashobolwa. Juzi nliwafumania wakidansi na mapacha watatu. Umenionea wapi cacico?
PakaJimmy una kashfa aisee jitahidi kuifuta mapema!Nimeonewa sana,
Nimedhalilishwa sana,
Nimesikitishwa sana
Nimefadhaishwa sana na kauli hizi!
Nadhani shida ni cheo changu cha Uenyekiti wa kamati ya maadalizi!..Kama hiyo ndiyo shida, basi chukueni tu!