Eid Mubarak kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Eid Mubarak kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
EID MUBARAK

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid El Fitr
IMG-20250331-WA0044.jpg
 
Serikali ingekuwa inatu mixx by yas wananchi wake hata ka ten ten kila mmoja!..😂
 
Ndugu Mlipakodi, unakumbushwa kutoa risiti zote za EFD kwa mauzo ya Machi 2025 pamoja na fedha za awali(Deposits) zilizopokelewa kwa ajili ya huduma za baadae.


Salam walizonitumia TRA Idd yote naiona chungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom