NJOONI TUCHEKE JAMANI,NAJISIKIA KUCHEKA NAOMBENI MNITEKENYE KIDOGO. MIMI NAANZA HIVI
Kichaa alikuwa ufukweni mwa bahari akiwaza.. Jamaa akamuuliza "Unawaza nini?!"... Kichaa akajibu "natafakari hii bahari ingekuwa supu sijui ningeinywa kwa chapati ngapi
njoo njoo
Jamaa mmoja alikua anatongoza demu. Wakati akitongoza uume wake ukawa umesimama. Kwa hasira jamaa akafungua zipu akaitoa nje kisha kwa hamaki akasema "tongoza mwenyewe basi kwa sababu una haraka sana".
Ofisini huwa tunachelewa sana...manager akasema tuwahi kesho yake ili tukae kikao kabla ya kazi...asbh wote tulichelewa kufika ila manager alichelewa zaidi...so alikuta wote tushafika..ilipofika agenda ya kuchelewa..akasema "Siku hizi mnachelewa sana ila leo wote mmewahi" hahahaaa wacha watu wacheke...
ahahaaa yoooooooofisini huwa tunachelewa sana...manager akasema tuwahi kesho yake ili tukae kikao kabla ya kazi...asbh wote tulichelewa kufika ila manager alichelewa zaidi...so alikuta wote tushafika..ilipofika agenda ya kuchelewa..akasema "siku hizi mnachelewa sana ila leo wote mmewahi" hahahaaa wacha watu wacheke...