Eh Mungu muondole mtoto huyu maumivu!!

Eh Mungu muondole mtoto huyu maumivu!!

sickprayer7.jpg

Hii sio dua. Ni nuksi tu unamzidishia huyu mtoto.

Weka swala aliosali Yesu mwenyewe hapa, hii umetunga wewe na hao conman wengine wala sadaka za kondoo.

Kumuita yesu ni Mungu Kunazidisha laana hapa. Acha kabisa miss paster.
 

Wacha kuleta maombi ya kubuni wewe na kumpachika yesu cheo ambacho sio Chake.
Hebu soma Dua aliiomba YESU MWENYEWE ambayo km wewe ni MKRISTO WA KWELI BASI ULITAKIWA KUOMBA Km YESU ALIVYOOMBA.

Yesu mwana Wa Maria aliomba.

1426110645871.jpg
 
Back
Top Bottom