Leo kidogo nimecheza mpira sijabutua sana japo imenicost game ya kwanza nimetoa Boko nyingi....Nilitaka usipate goli mkuu, kabla ya mechi nilitaka nikwambie ushindi wako pekee leo ni kupata goli π.
Nilikuwekea mbappe mbavuni kukuonyesha kuwa huo mfumo wako utakuwa ukifungwa sana kutokea pembeni.
Hili swala la kuniambia nikipata goli ndo ushindi ungelisema aseee ningekukamia haswa haswaaaπ€£π€£π€£Nilitaka usipate goli mkuu, kabla ya mechi nilitaka nikwambie ushindi wako pekee leo ni kupata goli π.
Nilikuwekea mbappe mbavuni kukuonyesha kuwa huo mfumo wako utakuwa ukifungwa sana kutokea pembeni.
Mwenyewe nimefurahia mechi mkuu, mpira ulikuwa kimbinu zaidi, uzembe kwenye mechi ya kwanza nikaruhusu goli wakati nilitaka usipate goli.Leo kidogo nimecheza mpira sijabutua sana japo imenicost game ya kwanza nimetoa Boko nyingi....
Ila hata hvyo nimejitaid kwenda na wewe leo..
Atleast nimeonesha uhai nafika golini napiga shoot
Ulikuwa serious kabisa leo hutaki nikufunge π€£π€£π€£Mwenyewe nimefurahia mechi mkuu, mpira ulikuwa kimbinu zaidi, uzembe kwenye mechi ya kwanza nikaruhusu goli wakati nilitaka usipate goli.
Mechi ya pili nikasema hii namalizana nae bila kupata goli, naona mtandao wako ukasumbua π.Hili swala la kuniambia nikipata goli ndo ushindi ungelisema aseee ningekukamia haswa haswaaaπ€£π€£π€£
Hakika mkuu hata hii game ya mwisho nilitaka tumalize 2-1 ila wakati narudisha mpira kwa kipa ukauwahi π.Ulikuwa serious kabisa leo hutaki nikufunge π€£π€£π€£
Nilikuwa naenda kuingiza mashine zangu za kazi nitafute goli moja kwanza...Mechi ya pili nikasema hii namalizana nae bila kupata goli, naona mtandao wako ukasumbua π.
Hii ya mwisho nilitaka nishinde kabisa ndo maana nikawasha ultra defensive maana wewe uliwasha attack moja nikasema hapa hapa nakaba counter moja imeenda...Hakika mkuu hata hii game ya mwisho nilitaka tumalize 2-1 ila wakati narudisha mpira kwa kipa ukauwahi π.
Muwekee NEGAN matokeo ya Gesperin Day.Nilikuwa naenda kuingiza mashine zangu za kazi nitafute goli moja kwanza...
Sikuwasha mkuu ila nilikuwa nakushambulia sana huenda ndiyomaana ikawaka yenyewe halafu hapa ndo najua kama iliwaka mie nilikuwa nawaza kupata goli lingine tu.Hii ya mwisho nilitaka nishinde kabisa ndo maana nikawasha ultra defensive maana wewe uliwasha attack moja nikasema hapa hapa nakaba counter moja imeenda...
Sema Amrabat kaka ulilamba dumeπ€£π
Ndiyomaana napenda kutumia box to box, nikiwa nashambulia yupo na nikiwa nazuia yupo π.Sema Amrabat kaka ulilamba dumeπ€£π
Nilishakuambia uliweka Auto..Sikuwasha mkuu ila nilikuwa nakushambulia sana huenda ndiyomaana ikawaka yenyewe halafu hapa ndo najua kama iliwaka mie nilikuwa nawaza kupata goli lingine tu.
Anhaa nimekumbuka.Nilishakuambia uliweka Auto..
Na hata ukiwa unaongoza mbili inajiwasha defensive moja
Mkuu usisahau mechi ya pili mtandao umesumbua nikiwa tayari naongoza 2-0 π.Matokeo ya Gasparini Day haya hapa...
Mechi ya pili game iliishia njian mtandao wangu ulikata...
Ila nimefungwa moja na Mungu siaidia nikapata sara mojaπππView attachment 3322243
Aya furahi sasaπ€£π€£Mkuu usisahau mechi ya pili mtandao umesumbua nikiwa tayari naongoza 2-0 π.
Daah hadi BBC imefika π.Aya furahi sasaπ€£π€£View attachment 3322245
Aina noma kakaDaah hadi BBC imefika π.
Nikikamilisha mazoezi ya LBC tutagusa tena.