Namna gani pale ๐๐View attachment 3653266@Selikavu @Razorblad
๐๐Kijana umpumzishe sasa
Hasa mtu akipata mpira anawaza kukimbia tu๐๐Kijana umpumzishe sasa
Me kanifunga jana mpaka nimeacha ndala ๐Hasa mtu akipata mpira anawaza kukimbia tu
ni kugumu ni vile vidole vimeota suguHivi nyie baada ya hii update mnatoboa mbona mambo ni magumu sana
๐Ni kubayaaaaaaaHivi nyie baada ya hii update mnatoboa mbona mambo ni magumu sana
Dah huko me nimesahau adi kuupdate niliambiwa saiv wamepatner na spider manPubg nako hakufai nacheza promotion niww ace master hata nicamp wapi nakufa
Umelud hewan MasterWakulungwaaa
Yani ushafika dvn 1 halafu unachamba ni kubaya ๐๐Ni kubayaaaaaaa View attachment 3654137
Telegram inanizingua inatak mpk nilipieUmelud hewan Master
Uje unifunge hakuna mwingine zaid yako ๐
Kumpata Madison lazima ufike points 1950 ndo utakua safe below hapo unakaa roho juuYani ushafika dvn 1 halafu unachamba ni kubaya ๐
Ila umelud kwenye game??Telegram inanizingua inatak mpk nilipie
NipoIla umelud kwenye game??
Tunaanzisha league