Ukishika dash/pressure huhitaji kushika uelekeo kwani mchezaji anafuata mpira auto,Wakuu,wa kunielezea jinsi ya kutumia match up button na dash&pressure,na hii match up ukiitumia unamfuata opponent mwenye mpira au vipi?
Jambo jema kakaNiko poa kaka
Naam mkuuJambo jema kaka
Koller ni 106 huyu kapigwa 102😃😃😃
Kesho kaka tutagusa sana...😃😃Selikavu
Ukiwa free uje unifundishe game"
🤣🤣🤣🤣pass ganii mkuuKesho kaka tutagusa sana...😃😃
Unifundishe kupiga pass😃
Alafu nipo na account ya Razorblade yeye yupo na yangu... Ngoja nikuadd huku uwe unanipa invite
Kumbe upo twende moja😃😃🤣🤣🤣🤣pass ganii mkuu
HahaKumbe upo twende moja😃😃
Sawasaw mkuu"Kumbe upo twende moja😃😃
Kesho kaka nipo hoi kuna mghana mmoja nimecheza nae tangu saa tatu mpak saa sita kasoro😃😃Sawasaw mkuu"