eFootball Special Thread

Huwa nabadilisha sana ila kwa sasa nacheza na Defensive moja kwa Rb wangu maana ni attacking... Counter target sipend maana napata mzigo kwenye kukabaπŸ˜ƒ
Mi counter target hata kama hawakabi, nnapoikubali ni kwenye kona nikiokoa kona naweza kufanya counter ya haraka tu..

Ila nikieka mmoja tu apo mbele napata nafasi ya kukimbizana na beki aliebaki mara anakabwa πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…