Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,632
- 7,126
Ila overall game ilikua nzurii mkuu"Owaaa una watu mzee adi Vieiraa big time kheeh๐
Huu mtego wa kuwa wewe noob nimeshasema siingii leo umecheza soka safi kabisa me kazi yangu ikawa kukaba๐na naipenda sana hiyo kazi๐Ila overall game ilikua nzurii mkuu"
Hongera next times ntajipanga zaiidi" endelea kunifunza game mimi bado mgeni Selikavu
Amiini mkuu"Huu mtego wa kuwa wewe noob nimeshasema siingii leo umecheza soka safi kabisa me kazi yangu ikawa kukaba๐na naipenda sana hiyo kazi๐
Tukutane tena wakati mwingineAmiini mkuu"
Tutolee ujinga ๐๐๐Mimi bado beginner ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nlikua nafurahia interceptions tu
Idara ya ulinziHuu mtego wa kuwa wewe noob nimeshasema siingii leo umecheza soka safi kabisa me kazi yangu ikawa kukaba๐na naipenda sana hiyo kazi๐
Kandambili 2.0๐Kuna mtu atakuja kwenda kwa Jogoo wa Shamba II bila gadi siku aludi na dhahama๐๐๐
Naona umeanza mpira wako sasa๐๐umekutana na masta wa kuvizia๐ huo ndo mchezo wangu na nilikua napenda kwel kucheza na wewe leo๐ ๐ ๐ ๐
๐๐Picha linaanza mtu card zake unaona kabisa ana miaka mitatu anacheza๐๐alafu anakuambia yeye Noob ๐Tutolee ujinga ๐๐๐
Shifuuuuuuuu
Kazi yetu pendwa...Idara ya ulinzi
Bora Kandambili ๐๐hapa ukiangalia tu kikosi unajiongezaKandambili 2.0๐
Kanda maalum ๐๐Kazi yetu pendwa...
Humu kila mtu tapeli ๐๐๐๐Picha linaanza mtu card zake unaona kabisa ana miaka mitatu anacheza๐๐alafu anakuambia yeye Noob ๐
Leo kacheza mpira wake owaaa ni mnomaaa
Unakuta ana account yake ya 3300 imetulia huko๐๐Humu kila mtu tapeli ๐๐
Apo usikute hiyo ndiyo account ndogo ๐๐
Picha la kutisha
Mimi tena ๐
Akiona tunaleta mazoea anapanga majini ๐๐Unakuta ana account yake ya 3300 imetulia huko๐๐