π€£π€£π€£π€£ hata ikianza nyingine tena huwezi nikuta mkiani.. kuna watu lazima nigawane nao pointNitoe pongezi kwa Corrie de killer kwa kujitahidi kutoka mkiani
Kasema hawezi mpaka ijumaaπ
Username yak ni ipiNipe code
SEPTERUsername yak ni ipi
πππKwel kabisaπ€£π€£π€£π€£ hata ikianza nyingine tena huwezi nikuta mkiani.. kuna watu lazima nigawane nao point
Eeh saivi next league tunaanza mtoano watu nane tuu ππNdio bhc tena!! Bora saiz next league iwe knock out tu
UwakikEeh saivi next league tunaanza mtoano watu nane tuu ππ
Coins unanunulia kiwanja??View attachment 3612117
Nimesubiria kama dakika 10 umalize mechi, imeisha nimekuona online nashangaa umeingia nyingine tena π₯΄
πππCoins unanunulia kiwanja??
Romario, Mbappe, Buffon, Cruyff wamenifilisi mno πππCoins unanunulia kiwanja??
Ahaha dah karbu narudi lakiniWiki 2 sijaingia
Jioni saa 10NEGAN aka Kumar Singh leo mida gani nikakupe ubingwa wako?