eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ hako ka buffoon kaka hamna kitu basi tu batistuta anakubeba
Ungejua sijawahi tegemea kipa ๐Ÿค ๐Ÿ˜‚๐Ÿค 

Ipo hivo ukifanikiwa kuingia ndani ya box basi najua nmefungwa kwani silaha yangu ni interception huko kwingine sina uwezo.
 
Humu mtu ambaye sina wema ni mimi pekee hao wengine wote wema ๐Ÿ˜‚๐Ÿค ๐Ÿ˜‚๐Ÿค 
Hahaha!! Ndio ukutan na mm tena. Ntauaa
Umewah ona kweny mechi konami wanasema the player is injured he needs few time to rest ndio kitacho jiri๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom