eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nilijitia tamaa nikaspin coins zangu kwa Cruyff coins 800 shwaaa zikabebwa 😄 💔
Kismart chako umehonga wapi? 😂
Aah😅tunafanana ni bora nichome mia mia kuliko 900
Kijana unavimba 😂🙌

Acha mie nichome kwa CR7 halafu naanza kutunza zingine kwaajili ya world cup winner 🙌
 
Good evening😀
IMG_2934.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom