eFootball Special Thread

Nasikiaga mwamba drogba mzito sana. Sijawahi kuona maoni chanya kwa huyu mwamba πŸ˜…View attachment 3316318
Unajua kuna watu wanashindwa kuelewa kitu, kuna strikers ambao hawawezi kusimama peke yao kwahiyo kabla hujamtumia angalia card yake.

Ukimtumia drogba peke yake kwenye mfumo wako lazima upate nae tabu, Drogba hana speed ila ana nguvu.

Nilichojifunza kwenye hili game kitu cha muhimu ni kuangalia playstyle ya mchezaji, ukitaka kumfaidi huyu tumia strikers wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…