Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,072
- 33,772
Nipo pale niite Eli Mpanzu Kibisawala,š¤£š¤£Mda wa ku spinš
Nipo pale niite Eli Mpanzu Kibisawala,š¤£š¤£Mda wa ku spinš
Yeye ni GGR muda wote friend match aaaanhWacha nikutunuku crown la mpenda GGR šš„
Sisi tupo mkuu uwepo wako Pipijojo wetu in Desaal voice umekumbukwaNimewamissššš mnaendeleaje na league? Leo tena nimezungusha hollaaaaa
Lamine beib anagoma kuja CF š„¹
Selikavu
Hamna neno mkuu" mimi bado beginner šJogoo wa Shamba II mkuu jioni tutapanda nyingi
Attacking surgeš¤ šš¤ šSisi tupo mkuu uwepo wako Pipijojo wetu in Desaal voice umekumbukwa
Najua wanangu mmekaaa kungojea atakayesema nimekumic piaš¤£š¤£š¤£ili muwashe motoššjau kwel nyie heartless people šš
Ngoja Lamine atafutiwe position training akae pale CF
Tap tap the screen guys š
Alete account nikampe wifi yake wakataptapš¤£š¤£š¤£š¤£
Nimelia sanaUmeengoa kwa sauti ungejaribu kupunguza kidogo šš¤ šš¤
Kaka niwe mkweli ukijifunza fair play basi utakuwa master ila ukiendelee kufunga midoli isiyokaba basi wee ni noob probonoNawakumbusha tu nina Ronaldo wa 105 kwahiyo kwenye ligi mje polepole hasa Warld Razorblade
šš lbda ndio iwe ww wa kwanzKuna nyakati mnaliwa nyie kimasihara ila mnakuja kuandika mmekula kimasihara
Shikamoo brazaHabari zenu wakuu.
CodeShikamoo braza
Huoni hapo nina tuzo ya fair playKaka niwe mkweli ukijifunza fair play basi utakuwa master ila ukiendelee kufunga midoli isiyokaba basi wee ni noob probono
Ni vile tuu tumekataa kujielezaKumbe nae sio mwema