Wanipe Inzaghi tuuMapema tu wakinipa cruyff ntawasamehe dhambi zao za kutonipa epic card kwa spin coins π
SalamalekoUnantafuta ninni lakini ...ππ
Ulilala nyumbani kwel jana?π€£Nlisahau nafungua game ndio nakumbuka leo siku ya update.
Mapenzi hayo, mkiambiwa muwe single focus na eFootball peke yake mnatuona wabaya πNlisahau nafungua game ndio nakumbuka leo siku ya update.
MamiyakeπNje ya mda. Hatupo bongoπππΎ
Shikamoo πNje ya mda. Hatupo bongoπππΎ
SawaaπAhaa shida nyie mpo bongoπ
Hawana wema hawa tatizo πWanipe Inzaghi tuu
Ahaa shida nyie mpo bongoπ
Alale nyumbani na Lab*ll* alale na nani? ππUlilala nyumbani kwel jana?π€£
Waulize kabisa ( mnatokea bongo )Ahaa shida nyie mpo bongoπ
Kheeh mbona ghafla sana win amemuacha auπAlale nyumbani na Lab*ll* alale na nani? ππ
Kijana kawa malaya sana huyo anakitembeza kama anauza icecream za azam πππKheeh mbona ghafla sana win amemuacha auπ
Kheehπ
Congo ni mafala sana yani mayele wanamfanya wa ziada kisa tu hizo upupi zinacheza nje.