Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,947
- 12,392
Lini we fala? Sasa kwanini usijeniita huku? πππMwanetu jau sana huyu, tag zaidi ya 10 hakutokea.
Doh! πImagine
Halafu akipigwa chini analalamikaπ€£π€£
Ikefwee! ππKama nilivyosema mama mtumishi kwenye maombi yako usimuache Kijana kuna roho zinamsumbuaππ
Wakuu jukwaa la mahusiano lipo aty humu mtutolee hii mada maana yatima mnatunyanyasa.Demu mpya nitolee wapi mimi? π
Mie mbona sifurukuti kwako laaziz ππ
Mja+ala+na=... πUsifanye hivyo ukimpiga chini me nitaumia zaid yakeπ₯Ί
Endelea nae hivyo hvyo ameanza kubadilikaππ
Usimsikilize huyo waridi wangu, mie nipo bampa 2 bampa na wewe ππKwamba niendelee kuomba atabadirikaπ€£π€£π€£π€£
Nitakuwekea tutorial YouTube ila mpka nipate muda...
Maana ni mbs nyingi huku haziwezi kupanda
Ila unaweza ukawa unataazama mechi za huyu jamaa
View: https://youtu.be/AW8arYgcEN8?si=uksK3FBCWaeCmF0E
Hizi link nitumie DM
Nachoka mimi πNipo nae hapa kasema hawezi ishi bila weweππ
SelikavuWakuu jukwaa la mahusiano lipo aty humu mtutolee hii mada maana yatima mnatunyanyasa.
Sijui hata kama umetongoza sio wewe ni pombeππ
Anatutishia maisha ππUnasemaje kaka ππ€ π€
Leta codeWakuu jukwaa la mahusiano lipo aty humu mtutolee hii mada maana yatima mnatunyanyasa.
Acha kudekaHizi link nitumie DM
Mijitu itawekwa iyo sik ya competition πππUnasemaje kaka ππ€ π€
Hupati Amani kila kona unanyanyasikaWakuu jukwaa la mahusiano lipo aty humu mtutolee hii mada maana yatima mnatunyanyasa.
Aah wapHupati Amani kila kona unanyanyasika
π€£π€£π€£Nipo nae hapa kasema hawezi ishi bila weweππ
Sio selfika
π€£π€£π€£Demu mpya nitolee wapi mimi? π
Mie mbona sifurukuti kwako laaziz ππ