Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,872
- 12,230
Ujue ukanifanya nionekane kama mwendawazimu hapa kwa kucheka πππBado kidogooo
Ilifaa nimlambe hata mawili
Nitachek na vile vichwa vingine tuone
Dah! ππAkilia nitambembelezaπ
ππ ni auto hizo..Settings ulizoweka na hayo mabuti ulitaka kuniua π
View attachment 3593566
View attachment 3593567
View attachment 3593568
Yeye ndo kanifanyia kusudi anajua kabisa tatizo langu πππKwani alikuwepo uwanjaniπ€£π€£
Fala ππUtajua mwenyewe brazaππkikubwa haujatoka na on target
Trainer unaluka vipindi πSasa yeye ndo anajifunza game kuset sio shida zake
Poa.Nitachek na vile vichwa vingine tuone
Daah! Nunua sanda jeneza nakuja nalo πππ ni auto hizo..
Sijakusetia kitu totoo, maana hata graphic ilikuwa high. Leo ticher ndio akaniambia nishushe
Hapa unatafuta sababu za kulia π€£π€£
Huo sasa ndiyo uwe uwanja wako wa mazoezi πππ€ π€
Umenisikitisha sana yani mtu kaja room kwako umeshindwa kumchapa ipasavyo.Bado kidogooo
Ilifaa nimlambe hata mawili
Mkuu umesahau legacy yetu ( hatupokei maelezo )Settings ulizoweka na hayo mabuti ulitaka kuniua π
View attachment 3593566
View attachment 3593567
View attachment 3593568
Nikishapiga vi flying fish usingizi unatokeaga wapi sijui π
Badae uje kuchekea room usahau kushika batan nikuweke πUjue ukanifanya nionekane kama mwendawazimu hapa kwa kucheka πππ
Shenz π€£π€£Daah! Nunua sanda jeneza nakuja nalo π
Anajaribu kujiteteaMkuu umesahau legacy yetu ( hatupokei maelezo )
Nimesikitika sana pia π€£π€£ ilaa iko re matchUmenisikitisha sana yani mtu kaja room kwako umeshindwa kumchapa ipasavyo.
Sasa hata wakati wa streaming si utakuwa unasinzia tu πNikishapiga vi flying fish usingizi unatokeaga wapi sijui π
Sema muda kabisa πBadae uje kuchekea room usahau kushika batan nikuweke π