Wamekupelekea moto tier 10😃😃😅 kikosi changu kipo tena wote nilishawajaza mpaka mwisho ni wale weusi na ni hili la Online sio lile lilikuwa Hacked...Kila mtu na mapendekezo yake lakin nimeona gameplay ya efootball na control haijanivutia kabisa, nimejaribu kucheza lakin halijanivutia.
Corrie de killer ametaka kuchukua notes wakati darasa halimuhusu nifanyaje sasa? 😂😂😂Hajui hata kupita kimyakimya
Yote kwa yote dls ni nzuri kuliko hiyo efootWamekupelekea moto tier 10😃😃😅 kikosi changu kipo tena wote nilishawajaza mpaka mwisho ni wale weusi na ni hili la Online sio lile lilikuwa Hacked...
Ndo ujue kiasi gan nimelicheza
Nilishafkka adi tier one
Kashindwa kuwavumilia waruka makachu 😂😂😂Ni vile umekutana na players wa 57 strength 😂😂
Kuna unafuu mkuu mi sahizi ukisema nianze na account mpya aagh siwezi kwanza ni mateso unakuwa mtumwa events itakulazimu uwe unachez ili kuokota POTW utaanza kucheza hadi my league maana kule angalau utakutana na wachezaji wa mkopo😃😃Hata DLS unaanza nao hao hao
Eeh anaanzia mbali.Ila anazunguka 😂
Leo nimenusurika sanaMiamba inahama sio 🚮🚮
Sema umekutana na ugumu mkuu, huko DLS wachezaji wanakimbia kama wanaumwa kuhara, gameplay yake ndiyo hovyo kabisa 😂😂😂Kila mtu na mapendekezo yake lakin nimeona gameplay ya efootball na control haijanivutia kabisa, nimejaribu kucheza lakin halijanivutia.
MAoni yako yaheshimiweYote kwa yote dls ni nzuri kuliko hiyo efoot
Atachezesha finalBasiii huyu badge ya fifa anayo aaanze kujiandaa kwaajili ya world cup
Mr balle yupoKuna unafuu mkuu mi sahizi ukisema nianze na account mpya aagh siwezi kwanza ni mateso unakuwa mtumwa events itakulazimu uwe unachez ili kuokota POTW utaanza kucheza hadi my league maana kule angalau utakutana na wachezaji wa mkopo
Wale wanazingua hasa ukiwa unalazimishwa kuingia training 😂😂Kashindwa kuwavumilia waruka makachu 😂😂😂
Mimi sijacheza ku compete nilikua naangalia uhalisia ipi inavutia, Mimi ni mkali wa gemu japo kua sijacheza sana efootball lakin niki install hata sasahiv naweza nikakufunga sana, tena Mimi nachukuaga wachezani wale ambao sio mastaaSema umekutana na ugumu mkuu, huko DLS wachezaji wanakimbia kama wanaumwa kuhara, gameplay yake ndiyo hovyo kabisa 😂😂😂
Ndio uhalisiaMAoni yako yaheshimiwe
Huku ni tofauti mkuu 110 haiweiz fungwa akina ambundoMimi sijacheza ku compete nilikua naangalia uhalisia ipi inavutia, Mimi ni mkali wa gemu japo kua sijacheza sana efootball lakin niki install hata sasahiv naweza nikakufunga sana, tena Mimi nachukuaga wachezani wale ambao sio mastaa
Hakuna kuheshimiwa apo mkuu anajaribu kutingisha meza yenye jagermasterMAoni yako yaheshimiwe
Mwanangu Corrie de killer yupoMr balle yupo
Aagh mkuu ebu install apo twende mbili.Mimi sijacheza ku compete nilikua naangalia uhalisia ipi inavutia, Mimi ni mkali wa gemu japo kua sijacheza sana efootball lakin niki install hata sasahiv naweza nikakufunga sana, tena Mimi nachukuaga wachezani wale ambao sio mastaa
Ukiwaangalia unaweza sema ni epic card vile 😂Wale wanazingua hasa ukiwa unalazimishwa kuingia training 😂😂
Ukiwa unaanza game unaweza kujua kila mtu anayo mandondocha kama yako 😂😂Ukiwaangalia unaweza sema ni epic card vile 😂