Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 7,812
- 15,283
Yan ushinde unacheza gemu kutwa nzima halaf useme unafanya kazi? Labda kama hiyo kazi ni ya kupiga vizinga watu upate hela ya kula, kubet na Kununua wachezaj na kubishana kuhusu mpira hata hao bodaboda hawana muda wa kucheza efootball kutwa nzima kila siku.Nani kakudanganya kuwa ukicheza game huwezi kufanya mambo mengine ya muhimu?
Unajua maana ya leisure jamaa? Ukitoka hapa utawaambia watu wasiangalie movie, wasisikilize mziki, wasitoke ma mademu grow tf up dude
ULikuwa unamtesa mtaalamuWakuu hata sielewi imekuwaje.
Umeamua kutoa dukuduku ππNani kakudanganya kuwa ukicheza game huwezi kufanya mambo mengine ya muhimu?
Unajua maana ya leisure jamaa? Ukitoka hapa utawaambia watu wasiangalie movie, wasisikilize mziki, wasitoke ma mademu grow tf up dude
Jamaa jinga hili lina force attentionπUmeamua kutoa dukuduku ππ
Ngoja nikupe request utaona account mpya haina jina yapo manamba yale ya konami tuuHatasaiz nipo
Ppoa ngj niingieNgoja nikupe request utaona account mpya haina jina yapo manamba yale ya konami tuu
Huyu c umlete TelegramNgoja nikupe request utaona account mpya haina jina yapo manamba yale ya konami tuu
Wew ambaye hauchezi game kitu gani cha maana umefanya.Yan ushinde unacheza gemu kutwa nzima halaf useme unafanya kazi? Labda kama hiyo kazi ni ya kupiga vizinga watu upate hela ya kula, kubet na Kununua wachezaj na kubishana kuhusu mpira hata hao bodaboda hawana muda wa kucheza efootball kutwa nzima kila siku.
Sisi tunawashauri tu fainal uzeeni
Kwa heshimaπππPpoa ngj niingie
Tumemuacha huku akae na edo Kissy ππHuyu c umlete Telegram
Hahahaha! Boss unagusa kinomaKwa heshimaπππ
Nimechoka aseeeππ until next time
View attachment 3588175View attachment 3588176
πππHii kwa woteMdogo angu akiwa anacheza hayo madude ukimtuma ananuna πh
Nagusa niniπππHahahaha! Boss unagusa kinoma
πππ€£ aisee kun ile mech ya pili kwa mwisho yan sijuh uliwek nn kweny goli lakoNagusa niniπππ
Sijashinda mechi hata moja
Nilibana mbupuπππ€£ aisee kun ile mech ya pili kwa mwisho yan sijuh uliwek nn kweny goli lako
Zilikuw zinapaa tu
Kiufupi sna njaa na ndani namiliki PS5 nacheza napopata muda sio kama nyinyi vijana wa efootball njaa tele hamna mbele wala nyumaWew ambaye hauchezi game kitu gani cha maana umefanya.