Mapema yote hii saa 12 na dakika 50 unaamka unatuwaza sisi kweli mtindio wa ubongo ni tatizo kubwaAiseee vijana wa humu ndani wanamchango mdogo sana Kwenye taifa
amkeni mdeki nyumba na muandae chai shemej aendee kazn
Deki hapo nyumban ukimaliza ndo uje tujadilMapema yote hii saa 12 na dakika 50 unaamka unatuwaza sisi kwenye mtindio wa ubongo ni tatizo kubwa
Edo kissy ulikuwa unacheza huku unawaza ulivyokuwa unadifiwa kule selfika 😂😂😂
Mara ya mwisho kucheza FTS(moded) ilikuwa 2021.Game ni FTS tu . Yani nasajili mchezaji ananigomea🥹🥹 anataka pesa nyingi.. yani full reality
Me nimetoa nae sare mara zote mbiliSasa huyu noobs kule teregram anafungwa na kila mtu😂😂😂😂😂
Turudie leo tenSikufikii wewe mkuu
Muda wote upo kwenye kibao kata ila akili ipo kwetu, hili ni tatizo kama tatizo lingine.Aiseee vijana wa humu ndani wanamchango mdogo sana Kwenye taifa
amkeni mdeki nyumba na muandae chai shemej aendee kazn
Leo tutajarib tena kak hat 5Mkuu
Mkuu ilibidi twende game 10 sema uliwahi kutoka.
Tafuten kaz za kufanya umri hauwasubiri, hao uluowatag ukizeeka hawatakusaidia hata debe la ungaMuda wote upo kwenye kibao kata ila akili ipo kwetu, hili ni tatizo kama tatizo lingine.
Maxence Melo Moderator Active tafadhali tunaomba huyu mtu azuiwe kuingia kwenye huu uzi kuepusha shari.
😃😃😃Usisikilize maneno wengi humu ndaniMe nimetoa nae sare mara zote mbili
Saa ngapi utakua na muda tuguseLeo tutajarib tena kak hat 5
Sawa mkuu andaa vidoleTurudie leo ten
Mi nlikutana na invite tu jamaa utadhani alikuwa ananisuburiSaa ngapi utakua na muda tuguse
Aah me kufungua game mpk niwe najua nina game otherwise sifunguiMi nlikutana na invite tu jamaa utadhani alikuwa ananisuburi
Hatasaiz nipoSaa ngapi utakua na muda tuguse
😃Nafungua Game nakut upo onlineMi nlikutana na invite tu jamaa utadhani alikuwa ananisuburi
Sawa sawSawa mkuu andaa vidole
Nani kakudanganya kuwa ukicheza game huwezi kufanya mambo mengine ya muhimu?Tafuten kaz za kufanya umri hauwasubiri, hao uluowatag ukizeeka hawatakusaidia hata debe la unga
Kua na bedsofa tv43inch na frij litre 120 sio mafanikio amka mapema