Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,936
- 12,370
Mkuu upo serious sana ๐Lete email yako na password tuzivuruge halafu uone kama huyo Selikavu ata recover account yako...
Kama konami Appeal form ukijaza inachukua mpaka miez 6 kurudi wewe unaaminishwa na ma hacker wa jf
Mimi humu huwezi nipata, umekimbia telegram ๐Panga mda
Achana na card za free mkuu, ukiweka sawa simu utanunua coins ๐Wadau simu ime zingua hii week nzima, nakosa coins na free legends Razorblade Selikavu
Hiyo email haina umuhimu kama hadi password umesahau ๐๐ Mchawi email nime sahau password asee, Niki link ina tuma code kwenye email ilio kwenye iyo simu hapa Hadi ni tengeneze
Unataka uingie vitani kwa niaba ya Edo kissy? Hata nisipocheza game mwaka mzima Edo hawezi nifunga ๐๐๐fala kwel wewe nitakulipa hii๐๐
Hukutumia magic skills zako, wewe si ndo hacker wa familiya ๐Sina uhacker wowote... Tumeshindwa kumludisha Adriano
Muoga wewe ๐Kule jau mkuu๐
Njoo tele tupange hiyo ratiba tena game narusha live tiktok ๐Dadeq hili limeniuma๐ฌ nalipa panga ratiba game zinakuwa 5
Tumia 1.1.1.1Niliifuta nashindwa ku login , na vpn haitakii
Vp apoWadau
We jamaa unaemiliki Anchorman timu nzimaWadau
Weka namba nyingine ๐๐plus kuna group Whatsapp la efootball tulijoin kama watu 6 hivi wa huku labda uje tulink huko pia easy kuchekianaInadai 3000 yao mkuu๐๐๐พ
Pow nikakuaddLabda Whatsapp imekaa sawa.