Warld JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 547 Reaction score 1,238 Sep 11, 2025 #12,741 Razor atamfunga Negan lin said: Warld hawa marefa unawahongaje maana hiyo game uliyonifunga nimenyimwa penalty mbiliplus zilikuwa ni red card zote hizo Click to expand... Mbinu toka kwa masta Razorblade
Razor atamfunga Negan lin said: Warld hawa marefa unawahongaje maana hiyo game uliyonifunga nimenyimwa penalty mbiliplus zilikuwa ni red card zote hizo Click to expand... Mbinu toka kwa masta Razorblade
Warld JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 547 Reaction score 1,238 Sep 11, 2025 #12,742 Mnipe link ya telegram
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Sep 11, 2025 #12,743 Warld said: Mbinu toka kwa masta Razorblade Click to expand... Mbinu gani wakati mie mwenyewe natafuta mbinu.
Warld said: Mbinu toka kwa masta Razorblade Click to expand... Mbinu gani wakati mie mwenyewe natafuta mbinu.
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Sep 11, 2025 #12,744 Warld said: Kaka leo ndo nmepata VPN Click to expand... Wamekuuzia sh ngapi kaka 😃😃
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Sep 11, 2025 #12,745 Razor atamfunga Negan lin said: Wamekuuzia sh ngapi kaka 😃😃 Click to expand... Dah! Hii vita mbichi 😂😂😂
Razor atamfunga Negan lin said: Wamekuuzia sh ngapi kaka 😃😃 Click to expand... Dah! Hii vita mbichi 😂😂😂
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,944 Reaction score 13,572 Sep 11, 2025 #12,746 Hii update mpaka saa ngapi wakuu mbona zone nyingine tayari wapo online
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Sep 11, 2025 #12,747 MAWEED said: Hii update mpaka saa ngapi wakuu mbona zone nyingine tayari wapo online Click to expand... Kuna wengine wanatumia server tofauti na TZ(kwa walio TZ) na wengine ni kutokana na maeneo waliyopo sababu kupishana kwa masaa.
MAWEED said: Hii update mpaka saa ngapi wakuu mbona zone nyingine tayari wapo online Click to expand... Kuna wengine wanatumia server tofauti na TZ(kwa walio TZ) na wengine ni kutokana na maeneo waliyopo sababu kupishana kwa masaa.
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Sep 14, 2025 #12,750 V Chief said: View attachment 3471958 Click to expand... V Chief said: View attachment 3471959 Click to expand... Mkuu hizi formation unatumia wewe?
V Chief said: View attachment 3471958 Click to expand... V Chief said: View attachment 3471959 Click to expand... Mkuu hizi formation unatumia wewe?
Mkenye Mkuu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 218 Reaction score 402 Sep 15, 2025 #12,751 Razorblade said: Mkuu hizi formation unatumia wewe? Click to expand... Ndio mkuu, nakiwasha vibaya mnoo
Razorblade said: Mkuu hizi formation unatumia wewe? Click to expand... Ndio mkuu, nakiwasha vibaya mnoo
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,944 Reaction score 13,572 Sep 15, 2025 #12,752 V Chief said: Ndio mkuu, nakiwasha vibaya mnoo Click to expand... Lete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala nini
V Chief said: Ndio mkuu, nakiwasha vibaya mnoo Click to expand... Lete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala nini
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Sep 15, 2025 #12,753 V Chief said: Ndio mkuu, nakiwasha vibaya mnoo Click to expand... Aisee hongera sana. Razor atamfunga Negan lin njoo umpe maelekezo ya kujiunga kwenye group ili tutest formation zake kuhakiki asemayo.
V Chief said: Ndio mkuu, nakiwasha vibaya mnoo Click to expand... Aisee hongera sana. Razor atamfunga Negan lin njoo umpe maelekezo ya kujiunga kwenye group ili tutest formation zake kuhakiki asemayo.
Mkenye Mkuu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 218 Reaction score 402 Sep 15, 2025 #12,754 MAWEED said: Lete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala nini Click to expand... Wakuu tulieni mbona kama mmenipania, mjue mimi sina huruma ukijirengesha mura
MAWEED said: Lete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala nini Click to expand... Wakuu tulieni mbona kama mmenipania, mjue mimi sina huruma ukijirengesha mura
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Sep 15, 2025 #12,755 MAWEED said: Lete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala nini Click to expand... Mkuu uje Telegram ni secure kwa sababu una hide details zako kama contact na vitu vingine😃
MAWEED said: Lete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala nini Click to expand... Mkuu uje Telegram ni secure kwa sababu una hide details zako kama contact na vitu vingine😃
Dodgers Gamers Member Joined Aug 20, 2025 Posts 80 Reaction score 96 Sep 16, 2025 #12,756 Razor atamfunga Negan lin said: Mkuu uje Telegram ni secure kwa sababu una hide details zako kama contact na vitu vingine Click to expand...
Razor atamfunga Negan lin said: Mkuu uje Telegram ni secure kwa sababu una hide details zako kama contact na vitu vingine Click to expand...
Issakson makanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 848 Reaction score 1,358 Sep 20, 2025 #12,757 Mnawezaje kununua coin kwa mpesa
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Sep 21, 2025 #12,758 Issakson makanga said: Mnawezaje kununua coin kwa mpesa Click to expand... Razor atamfunga Negan lin Atakuja kukupa maelekezo.
Issakson makanga said: Mnawezaje kununua coin kwa mpesa Click to expand... Razor atamfunga Negan lin Atakuja kukupa maelekezo.
Mkenye Mkuu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 218 Reaction score 402 Sep 21, 2025 #12,759 Hiyo World cup ya eFootball mmeisikia wakuu?
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Sep 21, 2025 #12,760 Kwa mpesa sijui maana me sio mtumiaji wa voda... Ila kama Voda wana masterCard unaweza tengeneza ukadd Playstore then ukanunua... Me najua tigo wana njia mbili ya mastercard na ya kulipia moja kwa moja kupitia Tigo Billing kwenye Playstore Issakson makanga said: Mnawezaje kununua coin kwa mpesa Click to expand...
Kwa mpesa sijui maana me sio mtumiaji wa voda... Ila kama Voda wana masterCard unaweza tengeneza ukadd Playstore then ukanunua... Me najua tigo wana njia mbili ya mastercard na ya kulipia moja kwa moja kupitia Tigo Billing kwenye Playstore Issakson makanga said: Mnawezaje kununua coin kwa mpesa Click to expand...