Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Ndiyomaana nilikuwa napiga pasi kwangu tu na kuoanda mara moja moja.Turudie kesho saa ngapi?
TwendeNaomba tupige muda huu kama unamuda kaka, naingia tu room na simu inaita.
Nakusubiri nikutumie invite.
Una viporo vingapi??Mkuu nme pata changamoto ya chaj imegoma kupeleka , kama Selikavu hachukui nafasi yangu basi point za leo upewe tu mkuu View attachment 3463083
Katika magoli yote ni goli 1 tu ndiyo umeshinda kawaida πRazorblade good game bro. Umenirahisishia kazi ukaniwekea mbilikimo Barresi na Cannavaro ndio wawakabe bullet headersπ
Cross zote hizo kwaajili ya headers tu π
Jambo zuri kwa upande wangu kukaba kumeanza kuninogea πHayo ni matumizi mabaya ya bullet headers π ni sawa sawa umwambie @Mr aache kupiga blitz curler nje box mtagombanaπ
Huoni jina hilo cross merchant πCross zote hizo kwaajili ya headers tu π
Upo vizuri naona mchezo wako unaoupenda wa pasi umeanza kukukubaliJambo zuri kwa upande wangu kukaba kumeanza kuninogea π
Kama usingetumia hizo headers sijui ungenifunga kwa hali gani π
Binafsi ninashida kwenye kuzuia mipira ya kona au cross, kama nikiweza kuzuia hizi cross na kona nitakuwa nimeiva.Huoni jina hilo cross merchant π
Nataka kujua namna ya kuzuia hizo cross na kona tu maana kuhusu chini tayari nimeanza kumudu.Upo vizuri naona mchezo wako unaoupenda wa pasi umeanza kukukubali
Uzuie cross na watu wana Cm177π€£π€£Binafsi ninashida kwenye kuzuia mipira ya kona au cross, kama nikiweza kuzuia hizi cross na kona nitakuwa nimeiva.
Tangu hapo kabla haya magoli ndiyo udhaifu wangu mkubwa, kabla ya update hii kuna jamaa alinielekeza ila hii bado sijajua nazuia vipi πππUzuie cross na watu wana Cm177π€£π€£
Hizo zinazuiwa kwa kucheza defensive Fullbacks kama Selikavu ukitumia defensive Fullbacks hakuna winga ataefurukuta.Nataka kujua namna ya kuzuia hizo cross na kona tu maana kuhusu chini tayari nimeanza kumudu.
Hiyo back 5 yako imemfanya silvester asionekane kwenye kumwaga maji π