eFootball Special Thread

Kandambili1 GOOD GAME MKUU 🔥🙌🫰

baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako 🔥🥴😀
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu 😂🙌
 
Nashukuru sana mkuu....yes nacheza hivyo sababu siwezi fanya movement nyingi mkuu kwenye game....hahaha nashukuru nimejifunza vingi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…