Skill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" upande unaotaka kwenda kumtoka mpinzani.
Nashukuru mkuu ....nitazijaribu hizi maana nacheza mpira basic mnoSkill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" unayotaka kwenda kumtoka mpinzani.
Skill ingine effective ni "fake shot" hii inavunja command ya match up ya mpinzani inamfanya mpinzani asiziwie pass au shut8. Ku perform fake shot unabofya shoot kisha kwa haraka unapangusa "joystick" kwenye direction unayotaka kumfinyia mpinzani.
Skill ingine "pass and move" nadhani wengi wanaijua hii.
Haswa double touch muhimu mno ukii masterNashukuru mkuu ....nitazijaribu hizi maana nacheza mpira basic mno
Basi tumpe Kandambili1 acheze nae πRoho mbaya tuu hadi kwa wagen
Acha niendelee kujifua ili battle yetu irudi πNishamwwmbia ninavyocheza nae ni tofauti sana na wengine ππasinione me pro
Huyo pro mkuu..... anafanya vitu vingi kwa usahihi uwanjaniUmemuomba Selikavu? Bila shaka ulikuwa unamtania πππ
Hunikamati tenaAcha niendelee kujifua ili battle yetu irudi π
Aseeeπππwe tupande siku moja nikuwekee mpira kaziHuyo pro mkuu..... anafanya vitu vingi kwa usahihi uwanjani
Sawa πHuyo pro mkuu..... anafanya vitu vingi kwa usahihi uwanjani
Masikini akipata... πHunikamati tena
Ukiwa fresh leo niambie mkuu.Aseeeπππwe tupande siku moja nikuwekee mpira kazi
Which formation is this? πππHizi sifa sasa wakuu
View attachment 3460604
Joystick ni ipi mkuu?Skill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" upande unaotaka kwenda kumtoka mpinzani.
Skill ingine effective ni "fake shot" hii inavunja command ya match up ya mpinzani inamfanya mpinzani asiziwie pass au shut8. Ku perform fake shot unabofya shoot kisha kwa haraka unapangusa "joystick" kwenye direction unayotaka kumfinyia mpinzani.
Skill ingine "pass and move" nadhani wengi wanaijua hii.
Ni ile directional button ya upande wa kushoto inayomsogeza mchezajiJoystick ni ipi mkuu?
Jobless wana mambo ya ajbu kichiziWhich formation is this? πππ
Sawa ngoja nijaribu vipigo vitaniua.Ni ile directional button ya upande wa kushoto inayomsogeza mchezaji