๐ dakka za jioni pale nimechezea nafasi daah pasi ya kupiga V nikakuta kwa wenge nimeitoa kwingine, imeniuma kinoma ๐ ๐Unasemaaa๐น๐น niitieni Edo kissy kesho ana kivumbi. Matokeo sijui niweke kesho ila apa na Red card tayariView attachment 3455678
๐น๐น๐น kuna mitama nilkua napiga karbu na box nasema hii red tenaView attachment 3455679
Sijawahi cheza game nikatoka magoli 15 labda sikumbuki ila hii, kama rede ๐๐๐ฅ๐ฅ
Refa alivyokupa red akaamuwa kuwa upande wako sasa unanipiga mpaka mitama afu uaachwa tu ๐
Mda huo me nawaza ku clear tu game iishe๐คฃ๐คฃ๐ dakka za jioni pale nimechezea nafasi daah pasi ya kupiga V nikakuta kwa wenge nimeitoa kwingine, imeniuma kinoma ๐ ๐
Haha mi lazima ningepunguza striker au kiungo niweke tena beki ๐๐นbaada ya van dijk kula red, second half nili mvuta costacurta nika muweka apo akawa ana cover eneo la van dijk View attachment 3455682
Na ulivyoupata haukurembesha kweli ๐ ๐Mda huo me nawaza ku clear tu gane iishe๐คฃ๐คฃ
Kuna moja Mbappe ndani ya box kabisa afu ikawa sio penati ๐๐น๐น๐น kuna mitama nilkua napiga karbu na box nasema hii red tena
๐นbaada ya Red naona uka frahi ,afu nika kupiga 3 uku shtukaHaha mi lazima ningepunguza striker au kiungo niweke tena beki ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Kuna msemo wa selikavu Huruma sio malezi huwa nauwakilisha nikikutana na ninaowamudu๐คฃ๐คฃ๐คฃEtt let me win please ๐
ukiandika hivyo kama nakumudu nakubonda๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃkazi kweli kweli ila tutafika tu kilasiku najifunza makosa ya mechi nnazofungwa nitaimarika zaidiAsa ukiandika hivyo mtu ndo atataka akukamie ili akukomoe๐
Game ilikuwa Kali hii sio kwa score hiyoView attachment 3455679
Sijawahi cheza game nikatoka magoli 15 labda sikumbuki ila hii, kama rede ๐๐๐ฅ๐ฅ
Refa alivyokupa red akaamuwa kuwa upande wako sasa unanipiga mpaka mitama afu uaachwa tu ๐
Mr Devil NEGAN Selikavu Edo kissy Razorblade
Tackles 12? Huyu alitaka kukuulia wachezaji ๐View attachment 3455679
Sijawahi cheza game nikatoka magoli 15 labda sikumbuki ila hii, kama rede ๐๐๐ฅ๐ฅ
Refa alivyokupa red akaamuwa kuwa upande wako sasa unanipiga mpaka mitama afu uaachwa tu ๐
Mr Devil NEGAN Selikavu Edo kissy Razorblade
๐ ๐ game mtu ana pigwa 4 na zina rudishwa zote ,,kuna mda nilkua naongoza 6-3, jamaa akarudisha zote dadekiGame ilikuwa Kali hii sio kwa score hiyo
๐ ๐ kaka si tulikubaliana kama uwezi kumkimbiza akikuacha we mchote mtama ,Tackles 12? Huyu alitaka kukuulia wachezaji ๐
Dah niliwaza au hii red nimepata mimi ndo nina wenge ๐๐นbaada ya Red naona uka frahi ,afu nika kupiga 3 uku shtuka
Dah aliwazoa kiukweli ๐ alikuja na ile mbinu yakoTackles 12? Huyu alitaka kukuulia wachezaji ๐
Ila kwako naona zimezidi, halafu eti red umepewa 1 ๐๐ ๐ kaka si tulikubaliana kama uwezi kumkimbiza akikuacha we mchote mtama ,
Hapana hizo tackles sifikishi, yeye ni expert ๐Dah aliwazoa kiukweli ๐ alikuja na ile mbinu yako
Ume mpata wapi kakaView attachment 3456179
View attachment 3456182
Raha iliyoje nikapiga random booster 1 tu ikaja yenyewe.
NB: Ambao mnayo hii card kama hujaenda kucustomize training guide usijelaumu, huyu jamaa akienda juu ni kama winger ๐๐๐