Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,923
- 12,355
Hapa kwa blitz curler konami inabidi wakae chini upya, hao watu mechi nzima anakuwa anamtumia mchezaji mmoja tu.Ni
balaa mkuu unaweza futa game ...hahahaha Kuna muda vipigo left and right...
Kuna hao wana wa blitz curler aiseh akigusa imo
Kwa nini mkuu me nikiingia division 1 sina cha kucheza tena labla quick match ambazo jauMi sielewi shida nini bana, leo mpaka nimelichukia game sijaingia toka asubuhi.
Kingine simu yangu takataka. Nikivuta tambo la maana ntaacha kupaki busKwa nini mkuu me nikiingia division 1 sina cha kucheza tena labla quick match ambazo jau
Naiheshemu simu nayotumia maana inanistiri, wewe umeshindwa hata kuiheshimu mkuu ๐๐๐Kingine simu yangu takataka. Nikivuta tambo la maana ntaacha kupaki busView attachment 3455250
Kuna kwamba ana del piero hahaha ni kama smart assist sasaHapa kwa blitz curler konami inabidi wakae chini upya, hao watu mechi nzima anakuwa anamtumia mchezaji mmoja tu.
Me ninae ila nikipiga blitz either hakose au nondo๐Kuna kwamba ana del piero hahaha ni kama smart assist sasa
Ndo maana Ile nafas ya 3 nikakimbia mkuu anabalaa sana huyo kukosa ni kula nguzoMe ninae ila nikipiga blitz either hakose au nondo๐
๐คฃ๐คฃdah una pambana mzee point za juu niliishia 1770 nikarudi niliko toka na vibe likaishia hapoAiseh mkuu Selikavu hii imekaaje nlifika 1788 last game akat naongoza ghafla imestack na kuload mwisho wakaniambia handed lost sababu nimeabonden game
Nilikuwa nina 1800 nikasema ngoja nicheze hata 2 nisogeze hizo mbili ndo zikawa kama nuksi mwanangKwa nini mkuu me nikiingia division 1 sina cha kucheza tena labla quick match ambazo jau
Mkuu Kuna muda nacheza kwa tactics kali nafika game 5 hadi 6 nashinda shida ndo hivyo mwishon nakwama hHHH Kuna muda hadi nilitaka kuandika jina la timu "one last match please help me win" hahahah๐คฃ๐คฃdah una pambana mzee point za juu niliishia 1770 nikarudi niliko toka na vibe likaishia hapo
Hahaha kuna wengine division 4 na 3 ndo nyumbani, mpka tumezoeaMkuu Kuna muda nacheza kwa tactics kali nafika game 5 hadi 6 nashinda shida ndo hivyo mwishon nakwama hHHH Kuna muda hadi nilitaka kuandika jina la timu "one last match please help me win" hahahah
Ett let me win please ๐Mkuu Kuna muda nacheza kwa tactics kali nafika game 5 hadi 6 nashinda shida ndo hivyo mwishon nakwama hHHH Kuna muda hadi nilitaka kuandika jina la timu "one last match please help me win" hahahah
Asa ukiandika hivyo mtu ndo atataka akukamie ili akukomoe๐Mkuu Kuna muda nacheza kwa tactics kali nafika game 5 hadi 6 nashinda shida ndo hivyo mwishon nakwama hHHH Kuna muda hadi nilitaka kuandika jina la timu "one last match please help me win" hahahah
Leta timu haraka nikupe dozi yako ๐
RudiLeta timu haraka nikupe dozi yako ๐
Unasemaaa๐น๐น niitieni Edo kissy kesho ana kivumbi. Matokeo sijui niweke kesho ila apa na Red card tayariNaowengi online ila nadeal na wewe tu ๐View attachment 3455665