Kaza vidole๐๐me nitalud tuu siku moja nainngia kukamia nalud๐๐Ulifanya makosa mkuu pale ukifika huko pumzika tu jana nimefika hadi 1797 ila sahizi nipo 1700 sijui narudijw noob mimi nateseka
Wamenizingua Hawa jamaa nlikuwa tayar nafika dvn 1 aiseh dahKaza vidole๐๐me nitalud tuu siku moja nainngia kukamia nalud๐๐
Ukifika 1797 pumzika cheza hata kesho yake mchana hivi๐๐๐badilisha na server weke Only nearby area๐๐๐
Ukishafika 1797 konami huwa wanatuliza kichwa kabisa kutafutia opponentWamenizingua Hawa jamaa nlikuwa tayar nafika dvn 1 aiseh dah
Kuna mahacker pia wanacheza hilo game๐๐kuna vitrick wanatumia ukiona hivyo mreport opponent kama unaamini Network yako ni strong...Aiseh mkuu Selikavu hii imekaaje nlifika 1788 last game akat naongoza ghafla imestack na kuload mwisho wakaniambia handed lost sababu nimeabonden game
Hapa umechezewa mchezo mkuu ๐Aiseh mkuu Selikavu hii imekaaje nlifika 1788 last game akat naongoza ghafla imestack na kuload mwisho wakaniambia handed lost sababu nimeabonden game
Mtalamu wa michezo achezewa ๐๐๐Hapa umechezewa mchezo mkuu ๐
Mbwa Hawa aiseh nlikuwa naona badge ya dvn 1 mbele yanguHapa umechezewa mchezo mkuu ๐
Sina uzoefu wa michezo mkuu hahahaha ๐คฃ๐คฃ๐คฃMtalamu wa michezo achezewa ๐๐๐
Sina uzoefu wa michezo mkuu hahahahaMtalamu wa michezo achezewa ๐๐๐
Ni noma aiseh nlikuwa naona kabisa badge yangu hahahahaKuna mahacker pia wanacheza hilo game๐๐kuna vitrick wanatumia ukiona hivyo mreport opponent kama unaamini Network yako ni strong...
Japo muda mwingine konami wao ndo wanakuwa wana shida
Tena wakati mbaya sana ๐๐๐Mtalamu wa michezo achezewa ๐๐๐
Sema unatoboa hapo, nauhakika hii phase haiishi.Mbwa Hawa aiseh nlikuwa naona badge ya dvn 1 mbele yangu
Inabidi nikaze nimerudi tena 769 uko bado game 2 zamoto hapoSema unatoboa hapo, nauhakika hii phase haiishi.
Kaza vidole.Inabidi nikaze nimerudi tena 769 uko bado game 2 zamoto hapo
Nyamaza, We si unae Isco tayari ๐Kazeni vidole acheni kulialia ๐๐๐
Huko siendi ng'o, Isco mwenyewe hana maajabu ๐๐๐
Upo?Nani yupo ready tupige game Moja?
Mi sielewi shida nini bana, leo mpaka nimelichukia game sijaingia toka asubuhi.Owaaa mbona umeshuka hivyo๐๐๐๐
Natamba nae kabisa ๐Nyamaza, We si unae Isco tayari ๐
balaa mkuu unaweza futa game ...hahahaha Kuna muda vipigo left and right...Kuna mimi toka 1900 saivi nipo 1700 ๐ dah hili game linakera sana ukiwa unafungwa ๐๐