π watumiaji wa smart assist si muwaache tu waenjoyWakuu week hii hatutokuwa na league lengo ni maandalizi ya kucheza bila smart league inayofata sisi watumiaji wa smart assist ni vyema tukatumia week hili kujifua
Next league tutacheza Full zote mechi zote kama EPL
Taarifa iwafikie
Mabingwa
Gilberto_ Mr Devil
Team kubwa (Top players)
NEGAN Mill broh
Professional players
Edo kissy Kandambili1 Warld Alexander Lukashenko Corrie de killer
Team cheza na Ambulance tackling Players
Razorblade π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Jump 85 hamna kazi hapa Ronaldo anatosha kupiga vichwa kwenye far postπNEGAN mkuu kwan huoni hii Bullet header π€£π€£View attachment 3452821
Sasa si mrefu ana 195ππJump 85 hamna kazi hapa Ronaldo anatosha kupiga vichwa kwenye far postπ
Vipi kuhusu sisi tunao struggle kuikaba π napendekeza tuwe tuna rotateHuo ubingwa ulioupata unakupa kiburi sio? π
Tukutane huo muda π
Mkuu saa 4 tutapanda....nitakuwa hewani ...Saa nne utakuwepo??
Tutakuwepoπ€£Huo ubingwa ulioupata unakupa kiburi sio? π
Tukutane huo muda π
Tuwapumzishe ambao hawatumii kidogo nao waone radha ya real footballπ watumiaji wa smart assist si muwaache tu waenjoy
Huyo bingwa naenda kumchana chana π Golden Boy leo anaeza asitoke na shuti.Tutakuwepoπ€£
πππUnaenda kumkaba wonder kid wetuππHuyo bingwa naenda kumchana chana π Golden Boy leo anaeza asitoke na shuti.
Huyo Wonder Kid ndo atakuja kukaba mwenyewe π mana mashambulizi yatakuwa π₯ lazima timu isaidiane ππππUnaenda kumkaba wonder kid wetuππ
πππAseeeHuyo Wonder Kid ndo atakuja kukaba mwenyewe π mana mashambulizi yatakuwa π₯ lazima timu isaidiane π
Box-to-Box ππππAseee
Atakuwa Anchorman sio
Ngolo kanteππBox-to-Box π
Humo humo πNgolo kanteππ
πΉpoa poa badae badae apoHuo ubingwa ulioupata unakupa kiburi sio? π
Tukutane huo muda π
πΉ πΉaya maneno nime yachukua kwa uzito, Yatalipwa kwa uzito huo huo π₯Huyo Wonder Kid ndo atakuja kukaba mwenyewe π mana mashambulizi yatakuwa π₯ lazima timu isaidiane π
πΉπΉπππUnaenda kumkaba wonder kid wetuππ