eFootball Special Thread

Leo nimecheza dvn ila kila nikikarbia kwenda dvn 1 nashindwa.... Sahizi imefika hiyo 1779 game moja tu ila wananiletea watu wanabonda mbaya.... Selikavu NEGAN Mill broh naomba tips hii game nimeshindwa cheza adi nipewe tips kwanza
Hapo ni kutafuta goli moja na kuanza kuclear tuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒhakuna pasi nyingi golini


Pira kazi haswa haswa,๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Itakuwa ni dhahama Kandambili kupata badge ya division one kabla ya hawa wafuatao๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Mr Devil

Edo kissy

Pamela Mamtu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Hii phase ikiisha sijui mtatuambia nini hasa mr Devil mmekosaje badge ya division one


Kazen bhana nyie wakongwe humu division mnafika mbona vizuri kabisa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นhii nayo ina taka uvumilivu , kupanda na kushuka kuna chosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ