YAni kwenye pass hatupo na kwenye dribbling hatupo hata kwenye kwenda hewani hatupo. πππHalafu kuna kina sisi tunacheza mpira hauelewki
π€£π€£π€£ ukiingia kwenye mfumo ni kuokota mipira kwenye nyavu tuπ mpira unategemeana na mpinzani unaekutana nae
Yani nipige pass kati wakati Neymar kafungua kwenye winga apige majaroπHaha akifungwa mnaziona pasi sio π
Wapiga pasi tuheshimiwe.
Yaani na wew pro unasema hivyoYAni kwenye pass hatupo na kwenye dribbling hatupo hata kwenye kwenda hewani hatupo. πππ
Hahah ule mfumo wako wa Bullet Headers leo nimeujaribu mtamu sana aseeYani nipige pass kati wakati Neymar kafungua kwenye winga apige majaroπ
Sieleweki,,Yaani na wew pro unasema hivyo
Na nimefungwa mkuu π€£π€£π€£ Kuna muda nlkuwa sielewi game nkaona nicheze pasKandambili1 anapiga sana pasi yaani pasi 180 π
Ila c unafunga sana tuSieleweki,,
sijawahi piga pass sahihi 100
Nabahatisha MkuuIla c unafunga sana tu
Tupande me npo onlineMda gani utakuwa online
Username gani hivi unatumiaTupande me npo online
Mtaalamu wa michezo unatupanga sana kakaπ€£π€£π€£π€£Nabahatisha Mkuu
Kwan una bullet headers na wewe,ππHahah ule mfumo wako wa Bullet Headers leo nimeujaribu mtamu sana asee
Ndo maana nimewauliza hawajaona goli lilipoππYani nipige pass kati wakati Neymar kafungua kwenye winga apige majaroπ