eFootball Special Thread

We jamaa matokeo Mimi natakataa haiwezekani uhack mfumo🀣🀣🀣🀣 inakuwaje wachezaji wangu wanamove vile aiseh 🀣🀣🀣🀣🀣 dawati la Malalamiko lipitie hii
Game ya kwanza ulinisumbua nliweka 4-4-2 ila ya pili nliweka 4-3-3 nkatanua uwanja maana nliona umejaa sana katikati πŸ˜‚πŸ˜‚ dembele mambio kulia afu hazard maspeed kushoto katikati kuna batigoal πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hongera sana mkuu....game ya kwanza Kuna muda nilihisi mbs zimekata sikuwa naelewa movement ya wachezaji kabisa....all the best kwenye finale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…