eFootball Special Thread

Point haziachwi kizembe umezingua 😂😂
Mkuu mie niliingia kwenye game mapema nikawa namsubiri opponent, nimecheza events mwenyewe nilivyoona naanza kuhisi usingizi nikaweka AI control ili niendelee kusubiri invitation maana muda wote sikuwa namuona online na hapo ndo nilipopitiwa na usingizi mazima 😂😂😂
 
Na join vp kwa ligi
Mkuu hii ligi tulikuwekq lakin hujatokea hata game mmoja na tunaenda mtoano...

Ngojea league ijayo ratiba inatoka Jumapili..

Na kutokana na nature ya JF mara nyingi saa nne usiku ndo match zinachezwa kwa hiyo hiyo mida unakuwepo kumsubuli opponent wako


Pia tupe username yako ya Efootball
 
Kwakua leo hakuna fixture muende kuisoma Familia ya Mr Devil
😃😃😃😃

 
Back 5 kumbe nilitumia enzi za unoob wangu🤣🤣🤣

Gilberto_ Mill broh
 
Hii nilikuwa sijui nimeona kumbe kuna game unafungwa kisa wachezaji hawakuwa form

Mkuu nataka nimchukue Joshua Kimmich kama Another Dm vip anaweza akawa Anchorman au nae ni box to box Dm...??
Ila na mimi nilikuwa Noob kwel kwel 🤣🤣🤣


Achana na akina Kandambili wanatuchezea michezo🤣🤣🤣

Hata kuangalia playstyle za wachezaji nilikuwa sijui🤣🤣
 
Dadeki😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…