Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Bora nicheze Lara kuliko dls πRaha ni kumzibua mtu live ππ
Lara croft lile la kukimbiaBora nicheze Lara kuliko dls π
Hili unyama mkuu yani bora nicheze hili kuliko dls π
Umeshawai maliza level zote??Hili unyama mkuu yani bora nicheze hili kuliko dls π
Kwanza ngoja niangalie uwezekano wa kulishusha π
Kadownload Google sio playstore
Kuna level nilizishindwa πUmeshawai maliza level zote??
Ngoja nifanye hivyo.Kadownload Google sio playstore
Upgrade silahaKuna level nilizishindwa π
Kuna midudu ya ajabu kuikimbia huku unaishambulia, daah hili game nishalikumbuka tayari.
Hili game lilikuja kufunika temple run.Upgrade silaha
Alafu uwe unatumia shotgun
Me nishazimaliza zote mpk 120ππna naweza ludia nikamaliza maanq ni kitambo 2016 ndo likuwa ulevi wangu
Aah hilo me namaliza ndani ya siku mojaπHili game lilikuja kufunika temple run.
Lirudie mkuu tuwe tunapeana maufundi πππ
Achana na mod cheza real mzee ukomae mod si unamaliza nusu saa game lote
Limekataa aisee hii simu ni janga basi tu πAchana na mod cheza real mzee ukomae mod si unamaliza nusu saa game lote
Njoo πTwende unifunge back to back sasa kabla ya Alhamicπ€£π€£π€£
Labda EA Sports sio eFB π
Sitaki nataka asubuhi saiv nimechoka ndo unakujaπ€£π€£π€£Njoo π
Alikuwa analisema Lara Croft game moja la kukimbiaLabda EA Sports sio eFB π
Hata kuinstalLimekataa aisee hii simu ni janga basi tu π
Aliyeniharibia simu... Nimuache tu π
Mi mwenyewe nimeshangaa upo active na nilitaka tupishane tusicheze ππSitaki nataka asubuhi saiv nimechoka ndo unakujaπ€£π€£π€£
Tucheze asubuhi akili imetulia naona kila kitu chakoπππ