eFootball Special Thread

Kapiga kazi sana leo afu Neuer ndo anakufaa... Maana ana footwork atanisaida kuosha vizuri
Ila huyo DMF uliyemuweka ni uchochoro mkuu we umeona alivyokuwa anaachwa kirahisi, kama huna B2B bora umtumie anchorman.
 
Nilikuwa najisemea huyu nimemwambia mood imekata yeye amefanya kuwa faida kwake, mechi ya kwanza ilivyoisha nikasema huyu hatoki hapa ataongea sana ngoja nimalizane nae kirafiki tu, ila umenichosha leo πŸ˜‚.
Afu hiyo message ya kuwa haupo mood hata sikuiona nimekuja kuiona muda game zimeisha
 
Me huwa nashangalia kabisa live napiga kelele
Muhimu hiyo mkuu hasa ukikutana na mpinzani mgumu, nakumbuka nilikuwa nacheza PvP tumeenda mpaka extra halafu mie penalty bado sijakuwa mjuzi nazo nikawa nahofia, dakika za jioni kabisa naweka chuma wavuni nilijikuta napiga kelele mpaka waliyokuwa karibu wakashangaa na wameshanizoea sasahivi na muda mwingine wanauliza (leo huna mechi?) πŸ˜‚.
 
Penati zisipendi...πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…