eFootball Special Thread

😅😅hii ajali tu ,kuna waindi uki kutana nao utazani unacheza na robot.
 
😅😅hii ajali tu ,kuna waindi uki kutana nao utazani unacheza na robot.
Amna kuna game unazidiwa mpaka unasema naam leo nimekamatika... Kesho tuguse tena mkuu mida kama leo nione kama nitawez kuchomoka
 
Razorblade game ya pili nilijua mtego 🤣🤣🤣 kuna roho iliniambia kijana Kimbia ya pili usicheze🤣🤣
Nachopenda nikicheza na wewe hali ya wachezaji wangu inakuwa unyama sana, ila leo umeniamulia hata hujanipa nafasi nicheze mpira ndiyomaana ikabidi niwe nacheza kama wewe 😂.

Mechi nzuri, umejua kunichosha 😂.
 
Kuna makosa niliyafanya game za mr devil nimeyasawazisha kwako😃

Mkuu mpira wako nitakuwa naingia na defence moja kwa moja🙌🙌🙌hizo long balls leo zimejua kunifanya kipa wangu acheze mipira mingi kuliko striker
 
Pale me naokoaje🤣kila muda long ball ikanibid nitumie trick za Dream league ni kulud tu kwa kipa na kuosha

Hizo long balls hizo😃😃😃
Nilikuwa najisemea huyu nimemwambia mood imekata yeye amefanya kuwa faida kwake, mechi ya kwanza ilivyoisha nikasema huyu hatoki hapa ataongea sana ngoja nimalizane nae kirafiki tu, ila umenichosha leo 😂.
 
Kuna makosa niliyafanya game za mr devil nimeyasawazisha kwako😃

Mkuu mpira wako nitakuwa naingia na defence moja kwa moja🙌🙌🙌hizo long balls leo zimejua kunifanya kipa wangu acheze mipira mingi kuliko striker
Halafu unajua nimetumia long balls baada ya kuona hunipi nafasi nicheze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…