eFootball Special Thread

Nimeujaribu huu mfumo mechi kadhaa nimeona kuna utofauti hasa kwenye kuzingatia stamina za wachezaji, tofauti na naotumia sasa wachezaji wanachoka mapema na vile sipendi kwenda kufanya subs katikati ya mechi basi imekuwa changamoto.

Selikavu ndiyo sababu maana alikuwa akimuelekeza Warld kukabiliana na formation yangu bila papara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukitaka kufika division 1 haraka na wewe tumia 4222
 
Kumbe ulimpata VVD wa 101 kaka🀣🀣🀣mbona hukusema
 
Sasa kama mtu analalamika wachezaji wako wapo kila sehemu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒme namsaidiaje sasa
 
Umesha master the art of using Drogba πŸ˜€
Huyo jini aisee unaweza usimuone dakika 89 ukaja kumuona dakika ya 90 anatanua mikono yake huku kipa wa timu pinzani anaokota chupa ya maji na wachezaji wengine wamekaa kwenye mwamba huku wengine wameshika vichwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Saiv nitakuwa nakaba mpka akimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…