Sio mbali๐Ushafika huku kwan kutoka room hadi Jamiiforum sio mbali ๐๐
Mfumo wangu uli kataa game ya kwanza , game ya pili nili badili formation ๐ ๐ naona uli muwekea tight marking bati goalhahahaha nachukia penalty hahahaha.....well done mkuu....unacheza vizuri sana Kuna mistakes nilizifanya game ya pili nikaweka tu twende sawa nkarudi na goli 2... Umeiva sana mkuu natafuta suluhisho la huyo bwana batistuta.. zile long balls hapana
Nimelud room ushasepa...Sio mbali๐
Nilichoka haram ball๐ nikaanza kudribble๐Good game๐nimekuvizia vizuri mwishoni
Na leo umenichezea haram Football haswa mpka nikawa nacheka๐๐Nilichoka haram ball๐ nikaanza kudribble๐
Umechomoa betri ๐น๐นUnasema๐คฃ๐คฃ
Ni hatari ๐Na leo umenichezea haram Football haswa mpka nikawa nacheka๐๐
Mimi nitakipiga na kandambili๐
Kesho hiyo ukaone moto huoMimi nitakipiga na kandambili๐
Nikasema leo kazi ninayo๐๐Ni hatari ๐
๐น๐น๐น kaka kaji chimbie training, nimechukua ma skills ya Kandambili1Mimi zidi ya Negan
Game ya Kwanza
View attachment 3437081
Game ya pili nilitoka kwenda kuanzisha mechi chap nikasahau kuscreenshot ila matokeo yalikuwa hivi View attachment 3437082
Game ya tatuView attachment 3437083
NEGAN much appreciation dakika 300 zimeamua
Nikamkabe puskas sasa๐Kesho hiyo ukaone moto huo
๐๐๐ Kandambili1 nilivyokuwa nacheza nae easy mwanzo ila nimeshashtuka huyo nikiingia nae room kazi kazi mzee๐๐๐๐น๐น๐น kaka kaji chimbie training, nimechukua ma skills ya Kandambili1
Yule jamaa anafunga aseeeNikamkabe puskas sasa๐