Sikutoa maelekezo ya mechi za mtoano Robo na nusu
Game ni mbili dakika 10
Condition Excellent
Game ya kwanza No Extra Time no Penalties
Game ya pili Penalties On na Extra Time on
Hapa inategemeana na Aggregate wakuu tuwe makin na hilo
Mkitoka draw game zote mbili mtacheza mechi moja ya dakika 5 ikiwa na extra time on na penalties on
NEGAN Gilberto_ Razorblade Alexander Lukashenko Warld Kandambili1 Mr Devil