Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,917
- 12,345
Drogba wamoto ninae mimi tu, Drogba wawengine wote wazito πSema drogba wamoto kwelii, sijui kwanini konami hawataki nipa huyo mtu
Jitu la kilo miaπ€£π€£
Amebeba mpira wake leo kiroho safi πJitu la kilo miaπ€£π€£
Kumeanza kuchangamka.Me na Kandambili1 tumetoka draw game zote
Kandambili1 hongera kaka umeivaπ
Hii ya kwanza alitoka mapema net ilimzngua ya pili na mimi nikamfunga moja tuu kwa agg ni 1:1
View attachment 3432960View attachment 3432962
HajatokeaWapi Edo kissy
Fixture ya kesho mkuu.Hajatokea
Hahaha mkuu Asante aiseh Kuna muda niliona kama upo na back 5 nikawa nashindwa napitaje kuja kuangalia upo na back 4 tu kama kawaida..Me na Kandambili1 tumetoka draw game zote
Kandambili1 hongera kaka umeivaπ
Hii ya kwanza alitoka mapema net ilimzngua ya pili na mimi nikamfunga moja tuu kwa agg ni 1:1
View attachment 3432960View attachment 3432962
Aah sawa sawaa master nitamzingatiaπHahaha mkuu Asante aiseh Kuna muda niliona kama upo na back 5 nikawa nashindwa napitaje kuja kuangalia upo na back 4 tu kama kawaida..
Nashukuru sana...licha ya kutaka kishililia bomba Torres amekuja kufanya kazi.
Torres mzingatie mkuu naona yupo vyema sana kwako....Asante nazidi jifunza mkuu.
KWa huu mwendo ntashuka daraja π₯Άπ₯Ά
Na mimi nisemajeKWa huu mwendo ntashuka daraja π₯Άπ₯Ά
Una point 7 halafu unasema utashuka daraja πKWa huu mwendo ntashuka daraja π₯Άπ₯Ά
Kwamba hamumuoni Edo?Na mimi nisemaje
Sijacheza hata mechi moja π
Dah aiseh hapa ndipo safari imeiva hahaha