Mkuu jana nilienda na Kandambili1 leo tutaenda mida kama utakuwepo...Vodacom
Poa masta ntakutaftaMkuu jana nilienda na Kandambili1 leo tutaenda mida kama utakuwepo...
Nilkutumia invite leo nikaona upo room na mtu tayali
Mkuu kuanzia saa 3:30 nakuwa nimemaliza majukumu yote....utakuwepo hewani.Kandambili1 ukija kaka nipe time gan twende
Acha kulia mkuu sisi familiya, ligi haipaswi kwenda bila maneno ya fitnah πππKaka tuwe serious sasa tuache maskihara...
Taarifa inatakiwa imfikie nani...
Issue ni modalities ya utoaji taarifa ilinifikia mimi kama opponent na co Organizer...
Yan mimi kabisa nisicheze ligi makusudi au Gilberto kheeh
Issue ni kwamba sawaa modalities iliyotumika ndo imeleta shida something which won't happen in the future...
Easy tu brother ni mchezo kama mchezo mwingine just enjoyment
Dah πππHapa ulikuwa sahihi kwamba inapendeza taarifa ifike kwa wote ili kuondoa sintofahamu
Jambo ambalo nimekubali na halitojitokeza tena
Sawaa sawaa mkuuMkuu kuanzia saa 3:30 nakuwa nimemaliza majukumu yote....utakuwepo hewani.
Ewaah! πππKwamba kwa sheria wote walimwe point zero si ndioπ
Shukrani mkuu...narudi muda sio mrefu.Sawaa sawaa mkuu
πππ AseeeAcha kulia mkuu sisi familiya, ligi haipaswi kwenda bila maneno ya fitnah πππ
Haikuwa issue kubwa kaka, umesahau life letu mbona πππGame yangu zidi ya Gilberto imekuwa Counted as draw kwa sababu wote wawili hatukutokea msimamo ni kama ufuatavyoView attachment 3432489
Nimeweka bando la wiki jana leo limekata, ntacheza na halo hivyo hivyo πVoda Tigo
πππFuraha yako si me nitoke usiwaze kichwa wewe π€£π€£π€£Haikuwa issue kubwa kaka, umesahau life letu mbona πππ
Usitumie sehemu nyingine ππNimeweka bando la wiki jana leo limekata, ntacheza na halo hivyo hivyo π
Sizitaki vidole ninavyo π
Tunakupa kakaπππSizitaki vidole ninavyo π
πππ familiyaπππFuraha yako si me nitoke usiwaze kichwa wewe π€£π€£π€£
Natoka soon kashinde kombe sasaπππ
Mkuu natembelea sana JF na WhatsApp tu πUsitumie sehemu nyingine ππ
Khalas πTunakupa kakaπππ
π€£π€£Hakuna Familia wala nini ubaya Ubwelaπππ familiya