Yani JF kungekuwa kuna moto na pepo wengi wangepelekwa motoni 😂😹😹 NEGAN anasema ata uki jiwekea condition excellent afu ye aweke terrible utoboi.
Unakaba hadi penati😂😂 twende tucheze kwa nini ligi iishe tu kizembe
Umeyakanyaga ukitaka utafungwa usipotaka utafungwa tu😅😂😂 umenipa za chinichini
Yani badala ya kunipa Serginho wamenipa huyu na wanajua situmii kocha wa booster 2 😂Typing error mkuu wamenipa baia kipa 😂
😂😂 nashukuruUmeyakanyaga ukitaka utafungwa usipotaka utafungwa tu😅
Liverpool tupo mara 2.. naomba uniwekee ya Villareal au Cadiz.Ligi msimu ujao timu zitazoshiriki
Unaweza kubadilisha logo kama hutoipenda
View attachment 3429400
Cc
Alexander Lukashenko Corrie de killer Edo kissy Gilberto_ Kandambili1 Mill broh Mr Devil NEGAN Razorblade Warld
Mechi zinachezwa saa ngapi?Ligi msimu ujao timu zitazoshiriki
Unaweza kubadilisha logo kama hutoipenda
View attachment 3429400
Cc
Alexander Lukashenko Corrie de killer Edo kissy Gilberto_ Kandambili1 Mill broh Mr Devil NEGAN Razorblade Warld
Kajibadilishie sheikh🤣🤣🤣Liverpool tupo mara 2.. naomba uniwekee ya Villareal au Cadiz.
Ni muda wowote ila kwa mazoea ya humu ndani saa nne nne usiku watu ndo tunakuwa Active Jf na kuanza kutafutana... kwahiyo mechi ni saa nne mwisho saa 6 usikuMechi zinachezwa saa ngapi?
Aah afu sijafikiria huko, naenda mkuu😂😂💔Kajibadilishie sheikh🤣🤣🤣
Hii ni muhimu kujua mkuu...Mechi zinachezwa saa ngapi?
Tayali🤣🤣Aah afu sijafikiria huko, naenda mkuu😂😂💔
Naona anataka kuwahi kuwa namba 10 huyo......niweke nae mkuu.