eFootball Special Thread

Wakuu polen na match za leo kwa wale mliofanikiwa kucheza Hongeren ...

Kwa wale wa point za mezani sina cha kuwaambia🤣🤣

Matokeo ya leo ni haya

Msimamo


Hatua inayofata ni playoffs kama ambavyo nilitoa ratiba itakavyokuwa kulingana na msimamo mechi za playoffs ni zifuatazo
 
Mkuu hapo umezingua, nilitakiwa nipite kama best loser.

Hapo wa mwisho anatakiwa atoke moja kwa moja halafu wa 4 na 5 ndo wacheze play off, kunipanga nicheze play off hapo itakuwa siyo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…