eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Tatiz9 e football wengi wanaogoapa ku update GB 2 kila mwezi noma bora wacheze DLS tu.
Hahaha ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚
1. Wanaogopa update za mara kwa mara.
2.simu zao hazi support game
3.hakuna kucheza offline huku ni online tuu๐Ÿคฃ
โ–ซ๏ธndo maana wanasema DLS ni bora ila ukweli haupingikii eFootball ni motoo๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘
 
mkuu ulikua unataka nilifute ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Hapana mkuu๐Ÿ˜‚mimi nina mwaka 1 na nusu toka ni download hili game nime update mara 2.
1. Ilikuwa kama mb 800 hv
2.mwanzo wa msimu huu hii ndo update kubwa gb1.2 huwa inakuwepo kila baada wa msimu kuisha nahisi..
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ndiyo mkuu haipiti miezi miwili una update kwa hizo hizo GB 2 ndiyo maana watu wengi wanalikwepa.
Mbona kwangu inapita mkuu.
 
Hahaha ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚
1. Wanaogopa update za mara kwa mara.
2.simu zao hazi support game
3.hakuna kucheza offline huku ni online tuu๐Ÿคฃ
โ–ซ๏ธndo maana wanasema DLS ni bora ila ukweli haupingikii eFootball ni motoo๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘
Sizitaki mbichi hizi. DLS haingii kwa e football ila kutokana sababu hizo hapo juu wengi linawashinda.
 
Mimi ni simu haisupport tu. Ila napenda gameplay ya e football. Napenda kucheza online match battle na wahindi na Wababangladesh.
Kumbe ni team eFootball kabisa mchawi simu๐Ÿ˜ƒ
Kucheza online kuna raha yake mkuu..
Kuna wahindi unawapiga hadi wanakimbia๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Screenshot_20231113_100323_eFootball.jpg
 
Back
Top Bottom