Hahaha nipo ready 🤣😃😃😃 Razorblade kajichanganya😃😃
Hapa me team Gilberto mapema🤣🤣🤣🔥
Alhamic kinawaka 🔥🔥🔥🔥🔥
Ewaa that's spirit 🤣🤣🤣🔥Hahaha kwamba kikosi kilikuwa kinatisha au? 😂
Haina noma, alhamisi mbali we ukiniona online hata leo tuma tu invite 😄
Kwel mkuu kama mimi hapa saiv nina 3150 na nimeanza mwaka huu mwezi wa pili 😃😃😃 mpaka mwakan konami wakiendelew kutubless hawa epic wa bure nitafika 3200 mapema mno😃😃😃Sema wakuu, mi naona saivi wanavyogawa epics za 105 naona kufika 3200 ni kitu kirahisi tu.. mimi account zote 2 nilizonazo saivi strength inafika 3175+
Naona kwa vile watu wenye game lao wameshaanza kufikia 3300+ wengine tutabanana 3200 saivi 😂
Duh division inazidi kuwa ngumu watu wana mavikosi aiseeKwel mkuu kama mimi hapa saiv nina 3150 na nimeanza mwaka huu mwezi wa pili 😃😃😃 mpaka mwakan konami wakiendelew kutubless hawa epic wa bure nitafika 3200 mapema mno😃😃😃
Kuna group nipo tsap baada ya konami kuwatoa Oliver khan na Cannavarro wa bure jamaa akasema kama kikosi chako hujatumia zaid ya million 2 kukitengeneza hachezi na wewe🤣🤣🤣
Naona saiv 3300 zimeanza kuwa nyingi View attachment 3421561
Dah nimefika 1700 nimeona division kugumu sivuki 1750 napanda nafika mpka 1750 game zitakazofuata hapo nadraw nafungwa nalud 1680 huko😃😃😃napambana tena naludi mpka 1750Duh division inazidi kuwa ngumu watu wana mavikosi aisee
Kama vicious cycle ya poverty vile😀. Ukifika 1700+ unahitaji kuwa na roho ya paka ili uweze kufika division 1😀Dah nimefika 1700 nimeona division kugumu sivuki 1750 napanda nafika mpka 1750 game zitakazofuata hapo nadraw nafungwa nalud 1680 huko😃😃😃napambana tena naludi mpka 1750
Jana nikasema nitaamka asubuhi 😃😃 nicheze division
Leo nimeamka akili imetulia nacheza mpira vzr nikakutana na script za kutosha😃😃😃
Hii badge nadhan nitaachana nayo tuu mambo yashakuwa mengi
Acha tuu mkuu yan sivuki 1750 nimefika kama sio mara 15 sijui nashuka napanda 😃😃😃Kama vicious cycle ya poverty vile😀. Ukifika 1700+ unahitaji kuwa na roho ya paka ili uweze kufika division 1😀
Sijasema Alhamisi wewe acha uchawa, nimesema baada ya maintanance ya Alhamisi ila sijataja siku 😂😃😃😃 Razorblade kajichanganya😃😃
Hapa me team Gilberto mapema🤣🤣🤣🔥
Alhamic kinawaka 🔥🔥🔥🔥🔥
Jeshi la mtu mmoja hili wewe 😂Unajua siwezi kukushabikia kaka🤣🤣🤣lolote baya likukute tu huko Room🤣🤣🤣View attachment 3421499
Tatizo mie huwa sikimbii room hata unifunge mechi 5+, tusubiri baada ya maintanance mkuu 😂Hahaha kwamba kikosi kilikuwa kinatisha au? 😂
Haina noma, alhamisi mbali we ukiniona online hata leo tuma tu invite 😄
Tatizo lako zile sms unafuta badala ya kuzizingatia 😂Acha tuu mkuu yan sivuki 1750 nimefika kama sio mara 15 sijui nashuka napanda 😃😃😃
Au Razorblade unaniloga kaka😃😃🤣 nisamahe nikiipata badge sijii kukukutambia kaka
Kwahiyo me ni Lukas Mwashambwa wa GilbertoSijasema Alhamisi wewe acha uchawa, nimesema baada ya maintanance ya Alhamisi ila sijataja siku 😂
Mashabiki zako Edo kissy hakosekan🤣🤣🤣Jeshi la mtu mmoja hili wewe 😂
Mwanangu unawaletea ushirikina adi wajapani🤣🤣🤣Tatizo lako zile sms unafuta badala ya kuzizingatia 😂
Wakiweka na benchi la ufundi simu yako itazima kaka😃😃😃Hili game siku za mbele litakuwa ghali zaidi maana hizi update zinazidi kuliboresha na baadhi ya simu zitashindwa kulihimili.
View attachment 3421736
Inasemekana update ya 2026 inaongeza graphics kiasi cha misuli pamoja na tattoe za wachezaji kuonekana.
View attachment 3421739View attachment 3421740
Ila wafanye wafanyavyo mie nataka subs zinapofanyika zionekane kwenye touch line na benchi la ufundi liwepo siyo kama hivi wanavyotokea kusiko julikana baada ya goli la dakika za jioni 😂
Ngoja tuone 😂Mashabiki zako Edo kissy hakosekan🤣🤣🤣
Washirikina ni wao wanaotuwekea epic card 5 kwenye pack ya card 300 😂Mwanangu unawaletea ushirikina adi wajapani🤣🤣🤣
Napakua bluestacks naliweka kwenye PC 😂Wakiweka na benchi la ufundi simu yako itazima kaka😃😃😃