Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,935
- 12,368
Simu sipo nayo πIngia kwenye game kaka
Leta account yakoπ€£π€£π€£(Am kidding bruh)π€£π€£π€£Simu sipo nayo π
Daah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi πIngia kwenye game kaka
Ile bado wameleta leo noma sana me nimepata Van Basten wa 105
Daaah huyo hata mimi namtaka πSelikavu kumbe Van Basten ni fox in the box π
Nikupe kweli?Leta account yakoπ€£π€£π€£(Am kidding bruh)π€£π€£π€£
Ngojea hiyo ipo tuuππile account yangu ya Japan wamenipa PuyolππDaah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi π
Nah bro nisije nikajinx ngojea uspine kwa mikono yako mwenyewe πππNikupe kweli?
Mie sina baya π
Hongera kakaNime ambulia uyu ila atakaa benchi hawezi anza mbele ya van dijk na Baston View attachment 3413081
Ya stream nimekosaHongera kaka
Hapa kuna mawili, nikimbie simu ilipo muda huu halafu nirudi au niwahi kutoka hapa mapema kabla ya muda wake πNgojea hiyo ipo tuuππile account yangu ya Japan wamenipa Puyolππ
Hiyo kapata Negan tuu me pia nimeikosaYa stream nimekosa
Acha woga πNah bro nisije nikajinx ngojea uspine kwa mikono yako mwenyewe πππ
Wai kutoka tuu kaka (Second Option)Hapa kuna mawili, nikimbie simu ilipo muda huu halafu nirudi au niwahi kutoka hapa mapema kabla ya muda wake π
Naanzaje kukuambia wamekupa Batistuta tenaπ€£π€£π€£π€£Acha woga π
Sema ni jau hawa, nimechelewa kutoka home kwa sababu yao halafu wanakuja kufungua spin nikiwa sipo home πWai kutoka tuu kaka (Second Option)
Hadi usiku utakuta chance deal ime expire π .Daah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi π
Na hapa nilipo hakuna hata mtu mwenye eFootball, wanacheza makatuni ya DLS tu πNaanzaje kukuambia wamekupa Batistuta tenaπ€£π€£π€£π€£
Just kidding hayupo pale π€£π€£π€£