eFootball Special Thread

Nimeishailink mkuu kitambo tu.
Ukiingia kwenye game nenda sehemu ya Shop ukifungua kuna sehemu utaona picha ya Camavinga utaingia hapo... Utaenda kwenye Players

Utawakuta wapo wawili Camavinga na Conor Galleger Juu kabisa upande wa kushoto kuna idadi ya point zako ulizozikusanya mpaka sasa mchezaji mmoja hapo ni Epoints Elfu tano kwahiyo utapiga hesabu kama zinatosha wawili ama mmoja

Baada ya hapo utabonyeza kwenye hizo elfu tano zao simu yako itatoka adi kwenye Website ya Efootball itakuletea maelezo kama unataka kumchukua huyu chini kabisa kunq sehemu imeandikwa exchange utabonyeza hapo
 
Nasubiri hizo kaka....

Mkuu nimeenda kule nimemuona tayari sema point zangu nilibadilishana na 10 training point last time
Pole mkuu usingezitumia hizo...

Training za wachezaji huwa tunatumia Gp points zile za blue ambazo wewe unazitumia kununua standard cards ndo maana nikakushauli uache kuzitumia huko maana hao standard utakuja kuwaacha wote ukipata card zao nzuri
 
Habari, unaweza nisaidia na hii changamoto., Nina account mbili za efootball kwenye simu yangu, moja imekubali kulink na Konami id ambayo ni ya japani ila hii nyingine inagoma kulink na Konami id.. nikilink inanileta kwenye hii acc
 
Tumia email 2 tofauti, huwezi link account zaidi ya 1 kwenye email 1.
 
Pole mkuu usingezitumia hizo...

Training za wachezaji huwa tunatumia Gp points zile za blue ambazo wewe unazitumia kununua standard cards ndo maana nikakushauli uache kuzitumia huko maana hao standard utakuja kuwaacha wote ukipata card zao nzuri
Nimejifunza kitu kikubwa mkuu....sio mbaya lakini tunasogea taratibu
 
Habari, unaweza nisaidia na hii changamoto., Nina account mbili za efootball kwenye simu yangu, moja imekubali kulink na Konami id ambayo ni ya japani ila hii nyingine inagoma kulink na Konami id.. nikilink inanileta kwenye hii acc
Aah log out kwenye account ya kwanza ya Efootball kule kwenye website then lud kwenye account yako ya pili link usitumie email moja fungua email nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ