Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Nilikutana na mtu anatumia hiyo, bahati nzuri kwenye ile account nimeweka back five maana hizo through ball zilikuwa zakutosha 😂Smart assist division 🙌🗑️unakuwa kama unachangiwa na Ai pamoja na mtu 🤣🤣🤣
Tulikubaliana humu tutacheza game bila kuwasha smart assist 😂Nataman niwashe tuu nitafute badge ya division one then nitazima😃😃😃
Aliyeleta wazo la Smart assist anyongwe😆Smart assist division 🙌🗑️unakuwa kama unachangiwa na Ai pamoja na mtu 🤣🤣🤣
Kaka ni zinaboa mzee ikipita tuu umeisha😃Nilikutana na mtu anatumia hiyo, bahati nzuri kwenye ile account nimeweka back five maana hizo through ball zilikuwa zakutosha 😂
Awee nakosa vibe sasa linanikera Unaona kabisa hapa ungegakaba vzr tuu na hivi ni dakika 5 muda hunaTulikubaliana humu tutacheza game bila kuwasha smart assist 😂
Kunyongwa atachelewa kufa anywe sumu kabisa maana ni uselessAliyeleta wazo la Smart assist anyongwe😆
Bila smart assist kwa hichi kikosi cha jamaa nisingeshinda hata mechi 1 😂Aliyeleta wazo la Smart assist anyongwe😆
Nilikuambia utawakimbia soon hao🤣🤣🤣Nafikiri muda wowote nashushwa daraja.... Nipo Division 3 AI ....aiseh unyama ninaofanyiwa sijui kwanini sijafuta game hahahaha....ni vipigo tu japo havizidi 2 ila vinafatana....nimeamua kucheza events tu kwasasa
Nilikuambia utawakimbia soon hao🤣🤣🤣
Asa mbona hata pvp ndio yaleyale. Sema Ai ni 🔥Siwataki tena mkuu....japo nimejikuta najifua kuendana na mbinu mbali mbali....Bora tu nrudi pvp chap
Pvp afadhar mkuu.... Ai ni moto mkubwa sanaAsa mbona hata pvp ndio yaleyale. Sema Ai ni 🔥
Wale hawafaiSiwataki tena mkuu....japo nimejikuta najifua kuendana na mbinu mbali mbali....Bora tu nrudi pvp chap
Ni Alhamic tu kila weekYaani hili Ai ni ngumu kuliko pvp alafu mbn Wana maintenance karibia Kila siku
Me niliishia Division 3 nikaachana naoPvp afadhar mkuu.... Ai ni moto mkubwa sana
Jamaa anabalaa huyo ukiomuomba code halafu ukimbie mechi anapost matokeo na maneno machache ya karaha 😂Kikosi ch Muuza Vikosi Maarufu TzView attachment 3391786View attachment 3391788View attachment 3391789
Jamaa anabalaa huyo ukiomuomba code halafu ukimbie mechi anapost matokeo na maneno machache ya karaha 😂