DVN nili wavuruga wachezaji ,uki ingia match bila kucheki kikosi utazani unacheza nawa 2900 😹Kweli ujinga ni wakati wa kwenda 😂
View attachment 3390321
Naona imekuwa rahisi sana kufika dvn 3, nianze kuitafuta dvn 2 sasa.
Account ile ya mshakaji??Kweli ujinga ni wakati wa kwenda 😂
View attachment 3390321
Naona imekuwa rahisi sana kufika dvn 3, nianze kuitafuta dvn 2 sasa.
Ndiyo.Account ile ya mshakaji??
Huyu wa 102??Ndiyo.
Ile account yangu nyingine niliyoweka Japan nimefungua leo nimepewa Dejong.
Ndiyo mkuu, hapa nafikiria sijui nilink au nipotezee.Huyu wa 102??
Link utampa hata mtu akijaNdiyo mkuu, hapa nafikiria sijui nilink au nipotezee.
Nitafanya hivyo.Link utampa hata mtu akija
Mpe hata KandambiliNdiyo mkuu, hapa nafikiria sijui nilink au nipotezee.
Kijana amekuza account yake ipo pazuriMpe hata Kandambili
Yake tayari ni kubwa kuliko ile maana wacheza wa maana ni watatu tu, strength inasoma 19...+Mpe hata Kandambili
Divison pa moto😆Nimelud kucheza Division na Account yangu nimekula tu vipigo 😃😃😃siielewi kabisa naona kama Account mpya vile 🤣🤣🤣
Aah sawaa mkuuHamna sasa hivi sipo free sana tukicheza hatuwezi maliza mechi usiku labda. Mchana huwa nashtua na AI
Account yangu lakin naona kama mpya sielewi ninachocheza😃😃😃Divison pa moto😆
Kaza vidole, kawakamie na huko 😂Account yangu lakin naona kama mpya sielewi ninachocheza😃😃😃
Nimekaza bado point mbili npande sasa division 3🤣🤣🤣🤣Kaza vidole, kawakamie na huko 😂